Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
Zamani zetu zile Mwalimu akiingia darasani tulikuwa tunainuka na kusema Heshima na utii, tukiwa shuleni na nyumbani Shikaaaaamooooooooo Mwaliiiiiiiiiim huku dole gumba likiwa kwenye paji la uso.
Pia tulikuwa tukicheza sana vinyengo (mpira wa karatasi), magari ya waya na dagio.
Kila mwanafunzi alikuwa na kiunga chake ambacjho alikuwa akikifagia kila siku na kiunga kingine kilikuwa cha maua. mnashindana nani anamaua mengi na mazuri.
Siku zilikuwa ni nzuri sana, na saa nne tulikuwa tunakunywa uji wa bulga.

........mmmmmh mkuu ulikuwa unatisha.....Nilifumaniwa na baba nikiwa nakadinya katoto ka jirani.
Baba akaniuliza mnafanya nini hapo? Nikajibu tunacheza mchezo wa jogoo kampanda kuku.
Nilichapwa fimbo zisizo na idadi, halafu nikaambiwa wataikata hii dudu ili nisifanye tena.
Baada ya hapo mapenzi yetu yakawa kama yametiwa mbolea, kila siku ni kusuguana tu.
Zamani zetu zile Mwalimu akiingia darasani tulikuwa tunainuka na kusema Heshima na utii, tukiwa shuleni na nyumbani Shikaaaaamooooooooo Mwaliiiiiiiiiim huku dole gumba likiwa kwenye paji la uso.
Pia tulikuwa tukicheza sana vinyengo (mpira wa karatasi), magari ya waya na dagio.
Kila mwanafunzi alikuwa na kiunga chake ambacjho alikuwa akikifagia kila siku na kiunga kingine kilikuwa cha maua. mnashindana nani anamaua mengi na mazuri.
Siku zilikuwa ni nzuri sana, na saa nne tulikuwa tunakunywa uji wa bulga.
Enzi za redio bila TV, kutwa kusikiliza idhaa ya taifa au ya biashara, gazeti linalovutia ni Mfanyakazi, ukumbi wa disco ni Mbowe Club, dansi nenda kumbi za DDC au nenda wapi wapi's bar na ukishindwa kabisa jongea mpaka lango la jiji. Mh natamani wakati urejee kidooogo.