Shikamo dada, shikamo mama zinanisaidia sana.

kuku dume

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2012
Posts
414
Reaction score
62
Wakuu,
Nimekuwa nikikumbana na changamoto nyingi sana katikamaisha lakini kubwa ni wanawake kutaka niwe nao kimapenzi.
Nilifikiria nikaona njia ya pekee ya kuwaepuka ni kuwaheshimu. Siunajua ukimtazama mtu usoni unatambua interest zake? Sasa dawa yao kili nikistukia tu ni 'shikamo dada, shikamo mama'.
Wadada wamehamua kuja juu...wanadai nawadharau. Nashindwa kujua kimaadili ipi ni sawa. Kusalimia ama kunyuti?
Wengine wanasema ni wadogo zangu/tunalingana...sasa eti ikitokea akazaliwa mtoto kwenu anayelingana na mjukuu wako lakini ni mtoto wa wazazi wako haitoshi akiwa dada yako hata kama umepita na umri wa miaka 40++?
Mimi ntawasalimia...sidanganyiki.
 
Jamani ni kwanin usipokuwa na mishe na wadada wanakuchukia?
 
it doesnt matter mkuu,mbna wengne wanasalimiana lakn bdo wanabanjuana?
 
mwenzio mie huwa najifanya niko serias ile mbaya ,mpaka wananiogopa
 
unajua kazi ya 'kuku dume' hupanda wadogo mpaka wakubwa, wewe utakuwa kuku jike..vinginevyo badili hilo jina. huwezi jiita kidume wakati mkia matakoni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…