SHIKAMOO BANGI

SAMORE

JF-Expert Member
Joined
Oct 8, 2014
Posts
400
Reaction score
540
Siku nilipogundua bangi sio mchicha ni pale ambapo nilitoka ndani kwenda kutoa pesa kwa M-pesa nikiwa na remote ya TV,nikaacha simu ndani...
Nilipofika kibanda cha M-pesa na remote ya TV mzee akaniangalia na kutingisha kichwa...
Ikanibidi nirudi home nichukue simu,nilipofika nilikuta giza umeme umekatika,nikachukua simu mezani nikawasha tochi ili nitafute simu yangu lakini sikuiona....
Ikanibidi nimpigie bibi ili anibeep kwenye namba yangu ya simu ili nijue iko wapi..akanijibu "Siku ukiacha bangi ndio utajua simu yako iko wap" [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…