Shikamoo Harmonize, (Konde boy) kwa show yako nzuri

Shikamoo Harmonize, (Konde boy) kwa show yako nzuri

Bundakwetu

JF-Expert Member
Joined
Nov 18, 2022
Posts
551
Reaction score
1,014
Nakupongeza kijana mwenzangu kwa kutupa burudani ya hadhi ya juu usiku wa kuamkia leo, kiukweli mashabiki wako hatukudai kitu kwa mwaka huu Mungu akulinde umalize mwaka salama na uendelee kutupa nyimba zingine nzuri hapo mwakani, Khoho khoho khoho khoho
 
Duh! Makubwa aisee wewe nitashangaa Sana nikijua mtoa mada ni mwanaume
 
Acha uongo.shiw ilibuma tofaut na matajio yake tickets hazikuisha na bado watu walika wachache
 
Back
Top Bottom