Bundakwetu
JF-Expert Member
- Nov 18, 2022
- 551
- 1,014
Vipi alowapa Collabo wote walitokea?Acha uongo.shiw ilibuma tofaut na matajio yake tickets hazikuisha na bado watu walika wachache
Aisee nitasikitika sana kama mshangaaji atakuwa mwanaume🤔Duh! Makubwa aisee wewe nitashangaa Sana nikijua mtoa mada ni mwanaume
Roho mbaya tuAcha uongo.shiw ilibuma tofaut na matajio yake tickets hazikuisha na bado watu walika wachache
Kwani tafsiri ya Show kuwa nzuri ni tiketi kuisha.Acha uongo.shiw ilibuma tofaut na matajio yake tickets hazikuisha na bado watu walika wachache
SawaKwani tafsiri ya Show kuwa nzuri ni tiketi kuisha.
Tiketi zinaweza kuisha na ukumbi nyomi ila show ikawa mbovu na pia ukumbi/uwanja unaweza usijae na show ikawa kali.
OP anaongela show nzuri
Pamoja Kiongozi [emoji120]Sawa
Nimefurahi hujataka mengi ila jibu unalo,😂😂😂Sawa
HapanaVipi alimtambulisha Salamu kama meneja wake ?