Hadaa na dharau ya Membe kwa Watanzania ni kubwa sana na imekithiri. Mara zote amekuwa akijiona kuwa yeye ndiye mwenye akili nyingi kuzidi Watanzania wote. Kutokana na tabia hiyo, amekuwa akitoa kauli ambazo wenye akili kumzidi yeye wanajua kwamba anaudanganya umma mchana kweupe.
Kwa sasa Membe anatudanganya kuwa anapigania uwepo wa Tume huru ya Uchaguzi katika Uchaguzi Mkuu unaokuja baadaye mwaka huu. Wengi tunajiuliza; Ni tume ya aina gani anayoitaka Membe ikiwa hii iliyopo ipo tangu yeye akiwa ndani ya mfumo na haikuonekana tatizo kabisa kwake kipindi hicho? Je, ni nini kinamsukuma huyu mtu kuna mkakati huo? Hivi anadhani Watanzania ni wajinga sana kiasi cha kushindwa kuling’amua hili?
Kaka Pascal Mayalla, katika uzi wako wa November 08, 2014 wenye title; “Membe amejuaje Contents za ‘Dimplomatic Bag’? Uwezo kukanusha kaupata wapi?- Tusidanganyane!”, ambao ulifafanua handling ya 'Diplomatic Bags’ ulisema;
“Membe ni just a fool fulani aliyebahatika kuukwaa u MFA, akiongea, ukimsikiliza na kumtazama usoni, hiyo foolishness yake inaonekana wazi”.
Na katika uzi ule uliojaa uchambuzi na ufafanuzi makini kuhusu mada hiyo ulimalizia kwa kusema:
“Na tukianza kudanyanyana hivi sasa, na wadanganyifu hawa, sio tuu wanatudanganya sisi, bali wanalidanya Bunge letu tukufu!, ikiwa hivi ni MFA, danganya zenyewe ni hizi, hiyo 2015, atakapokuwa ndiye yeye hali itakuwaje?! Tusidanganyane kabisa!. kuna watu hawatufai kabisaa!, hata wawe na sura nzuri vipi, na nywele zao nyeusi vipi kwa kupaka kanta ili waonekane vijana ila ndani ni mvi tupu!, huku wakiongea uwongo kwa mapozi mengi mchana kweupe! Kama hawafai, ni hawafai tuu!”.
Nimewiwa nikupongeze Kaka Mayalla kwa maono yako. Membe uliyemuona kwa wakati huo, ndiye tunayemuona hadi sasa, in short hajabadilika. Inaonekana tabia ya uongo kwake ni “Innate” na hajali as long as anakipata anachohitaji. Kama ulivyoona kuwa hakuwa mtu sahihi kuwa Rais mwaka 2015, basi naona bado hatufai kwa nafasi hiyo mwaka 2020. Kweli nimeamini maneno yako, “Kama hawafai, ni hawafai tuu!”.