Shikamoo Kamikaze

Dejane

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2014
Posts
50,587
Reaction score
71,492
Nimeona mmeleta wasanii wanaovutia ,kwenye listi yooote mliyoweka huyu kaka hakuna anaemfikia hata robo[emoji108][emoji108][emoji108],au mna makengeza mnaweka kin diamond wana midomo ya kumeza chapati sita unatuambia anavutia?watu wana pua kama mme wa shamsa ford useme wanavutia,jux ana mvuto gani kwa mfanooo,

[emoji23][emoji23][emoji23]

Naomba mumuone huyu kaka aisee popote alipo salute Mungu fundi aisee
Huyu kaka analika aiseee haku a kujiuliza wala kujishauri
Muangalie macho,mdomo,pua paji la uso,kifua cha wastaniii,nywele
uhuuuuuuuuuuuu



We kaka uliko huko Mungu anakuona jamani acha kunitesa mie[emoji23][emoji23][emoji23]

halaf una macho kama ya mtu fulani nimemuona kapita

 
Utaliwa siyo.muda wewe..! au umepatwa na [emoji286] [emoji286] [emoji287][emoji295] [emoji295] [emoji287] [emoji287] [emoji287]
Hakuna kinchoshindikana
 
Reactions: MC7


Sasa ungeniona mimi si ndio ingekuwa balaa, maana hanifikii hata chembe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…