Kisu Cha Ngariba
JF-Expert Member
- Jun 21, 2016
- 22,135
- 48,827
Kuwe na Wahariri wa kujitegemea...hizi nyuzi nyingine zinakula muda wa watu bure tu.
TutafikaKamwandikia barua Dc
No ,siyo kweli nasikiliza Eastafrica radio wanatangaza huu msiba kwa uzito wa juu sana toka jana, wewe unasikiliza radio gani? Tujifunze na tujitahidi kujijengea tabia ya ukweli tutaisaidia nchi na hatutwakatisha tamaa wale ambao wana moyo wa uzalendoHata TV na radio station za hapa kwetu walikuwa wanaendelea na mambo yao kama kawaida as if hakijatokea kitu hapa nchini.
Jf ndo imewashitua.naona hadi clouds fm wamebadili vipindi.aibuuHata TV na radio station za hapa kwetu walikuwa wanaendelea na mambo yao kama kawaida as if hakijatokea kitu hapa nchini.
Kenyata ni mwalimu wa magu xema magu ni mwanafunzi korofi hataki kuelewa, tanzania hatuwezi kujifananisha na kenya hata kidogo, kenya wako level ingine kabisa kwa mambo mengi ikiwa tz bajeti yetu 60% inategemea wahisani wakati kenya haitegemei hata mia ya wafadhili utajifananishaje na huyu mtu??Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta ametumia muda wake akiwa kwenye mkutano wake wa kisiasa kutoa salamu za pole kwa Watanzania kutokana ajali iliyoua 32 wakiwemo wanafunzi 29 wa darasa la 7.
Kenyata alisima pamoa na Mkutano wake kwa muda na kuomba mkutano huo usimame kwa heshima ya watoto wengi wengi karibu 32 waliofariki Tanzania
Hili naweza kusema ni dongo la kiaina kwa Mkulu.
Mkuu nilichoandika sijajitungia. Nimejitahidi sana kusikiliza na kutazama TV stations zetu tangu asubuhi na hawakuwa na hicho. Unless wawe wameanza jioni hii.No ,siyo kweli nasikiliza Eastafrica radio wanatangaza huu msiba kwa uzito wa juu sana toka jana, wewe unasikiliza radio gani? Tujifunze na tujitahidi kujijengea tabia ya ukweli tutaisaidia nchi na hatutwakatisha tamaa wale ambao wana moyo wa uzalendo