bartenderznz
JF-Expert Member
- Jul 18, 2016
- 398
- 195
Kirahisi.namna hio? [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]HULL CITY watabeba ubingwa wako vizur sana
Mbona matusi?Mshaanza kuchonga vichwa maji nyie😱😱
goli 2 za kchwa toka kwenye move isiyo na kichwa wala miguu..tayari makelele,ligi inaisha mwakan mwez wa 5!Ibrahimovic atawaumbua wale wanaotudanganyaga kuwa kiwango cha mchezaji kinategemea na ligi anayocheza.
Anayejua anajua tu, popote utakapompeleka atafanya yake as long as anajua.
mi najua wapinzani mmecomment huku mmevaa pampas sio rahisi kuhimili mziki wa Man U a.k.a Man Ndingo [emoji23] [emoji23]