Shikamoo mara ngapi kwa siku?

Tunguja

JF-Expert Member
Joined
Feb 15, 2018
Posts
457
Reaction score
339
Uamkapo asubuhi shikamooni wazazi,
Utakapo kwenye shughuli zako za kutafuta mkate unapofika nyumbani,je utatakiwa kuwaamkia tena shikamoo au kuna salamu nyingine?
 
Duu swali gumu wataalam wa lugha wamechemka
 
Mama alinifundisha nikishamsalimia asubuhi shikamoo,mchana Ni za mchana au za saa hizi Na jion ni za jion au za saa hizi!But Kama asubuh sikuonana naye nikikutana naye mchana au jion shkamoo Ni lazima
 
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122]
 
Asubuhi na jioni ni lazima labda ukishinda home
 
Hivi ukikesha na mzee kazini au wapi asubuhi inahitajika kumwambia shikamoo wakati mumekesha?[emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Hivi ukikesha na mzee kazini au wapi asubuhi inahitajika kumwambia shikamoo wakati mumekesha?[emoji3] [emoji3] [emoji3]
Ndio si tayari mnakuwa mmeingia siku nyingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…