LE GAGNANT
JF-Expert Member
- Jan 20, 2011
- 1,241
- 252
Ha ha ha salamu yao ni 'sasa'
Siku hizi wana "mambo" "poa"
Na sisi shikamoo tunaing'ang'ania ya nini? Inamaanisha, niko chini ya miguu yako. Salamu ya kitumwa! Lakini wazee usipowaamkia patachimbika!! Tubadilike waswahili!
Shikamooo!!!
Hata baba/mama na mwana hiyo ndiyo salamu?Ni aje? Jibu fit
Hata baba/mama na mwana hiyo ndiyo salamu?
mtoa mada muongo sasa! Mbona hajumlishi majibu?
....sasa !?............ au sema !? ...........au niaje ?! fikiria ni mtoto wa Nursery anakuuliza hivyo !:yawn:Wanasalimiaje? Hata mie sipendi shikamoo basi tu!
Shikamoo ililetwa na mabwana wa utumwa ndio maana inatumiwa maeneo ya pwani zaidi kwa maeneo yote ya afrika mashariki. Hata bongo mikoani hawaitumii sana hiyo shikamoo.
Ulishaenda kyela na kukuta wanyakyusa wanasalimiana shikamoo?