GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Ndio atumikie huo mwaka uliobaki sasa then aende anapotaka kama timu zinazomtaka kwa sasa zinashindwa kumnunuaSasa mkuu huoni kuwa mchezaji ana mkataba wa mwaka 1 na mwakani anakua mchezaji huru ataondoka bure kabisa sasa kama pesa imekuja kwanini usichukue?
Wanachofanya Azam ni kupoteza mda tu maana hata mchezaji hapandi kuwa pale maana kashaomba kuondoka.
We unafikiri Sureboy akibaki Azamu fc msimu ukaisha Yanga bado watakua wanamhitaji bado?Sasa mkuu huoni kuwa mchezaji ana mkataba wa mwaka 1 na mwakani anakua mchezaji huru ataondoka bure kabisa sasa kama pesa imekuja kwanini usichukue?
Wanachofanya Azam ni kupoteza mda tu maana hata mchezaji hapandi kuwa pale maana kashaomba kuondoka.
Kadri siku zinavyoendelea inadhiilisha kocha wenu hakukosea kuwaita uneducated , manyani hivi Azam ndio wanataka kumuuza au nyinyi ndio mnamtaka kumnunua mnataka kila kitu mbebwe au GSM si wanajigamba wanaweza kusajili mchezaji yeyote mbona wanaomba huruma tenaSasa mkuu huoni kuwa mchezaji ana mkataba wa mwaka 1 na mwakani anakua mchezaji huru ataondoka bure kabisa sasa kama pesa imekuja kwanini usichukue?
Wanachofanya Azam ni kupoteza mda tu maana hata mchezaji hapandi kuwa pale maana kashaomba kuondoka.
Halafu Morison anapenda kuwa yanga lakini mbona mnng'ang'ania mpaka mnafoji saini yakeSasa mkuu huoni kuwa mchezaji ana mkataba wa mwaka 1 na mwakani anakua mchezaji huru ataondoka bure kabisa sasa kama pesa imekuja kwanini usichukue?
Wanachofanya Azam ni kupoteza mda tu maana hata mchezaji hapandi kuwa pale maana kashaomba kuondoka.
Hebu tuonyeshe hiyo saini ilofojiwaHalafu Morison anapenda kuwa yanga lakini mbona mnng'ang'ania mpaka mnafoji saini yake
Sijui hata kama michezo uafwatilia mkuu ishu ya sure boy sijui hata kama unajua ilianzaje naona umekurupukia tu.Kadri siku zinavyoendelea inadhiilisha kocha wenu hakukosea kuwaita uneducated , manyani hivi Azam ndio wanataka kumuuza au nyinyi ndio mnamtaka kumnunua mnataka kila kitu mbebwe au GSM si wanajigamba wanaweza kusajili mchezaji yeyote mbona wanaomba huruma tena
Hatuwezi kujua kitakachotokea mbeleni kama ataendelea kuwa kwenye kiwango bora yanga wataendelea kumtaka.We unafikiri Sureboy akibaki Azamu fc msimu ukaisha Yanga bado watakua wanamhitaji bado?
Hii ni sawa na pale CDM walipomchukua EL wakidhani ni mbuzi mwisha wa safari wakakuta ni fisi, leo umeona penati ya kwanza kacheza na mwenzie wakakosa goli na penati ya pili akalenga mtambaa panya bado Simba wana ganda la muwa la janaMkuu umeona upumbavu waliofanya viongozi wetu...walahy nimekereka mno huyu hastahili kuvaa Nyekundu.View attachment 1530932
Hii ni sawa na pale CDM walipomchukua EL wakidhani ni mbuzi mwisha wa safari wakakuta ni fisi, leo umeona penati ya kwanza kacheza na mwenzie wakakosa goli na penati ya pili akalenga mtambaa panya bado Simba wana ganda la muwa la jana
Wabaki nayeSijui hata kama michezo uafwatilia mkuu ishu ya sure boy sijui hata kama unajua ilianzaje naona umekurupukia tu.
Ishu ni Yanga walipeleka maombi ya kumnunua sababu bado anamkataba wa mwaka 1 na mchezaji akaomba kuondoka katika uongozi wa Azam.
Azam wakawaruhusu yanga kuleta ofa yao na yanga wakapeleka 20m azam wakawajibu hiyo ndogo na gharama ya sure boy ni 40 wakati yanga hawajajibu kitu azam wakaleta pendekezo la 70m + feisal .
Sasa unakereka nini? Hukum J3, itareveal vitu vingi sana hasa kama Morrison atakuwa ameshinda. Vichache ni:-Mkuu umeona upumbavu waliofanya viongozi wetu...walahy nimekereka mno huyu hastahili kuvaa Nyekundu.View attachment 1530932
Luc Eymael alisema sisi ni nyani. Kweli kumbe. Penalty ashawahi kosa Messi, Ronaldo n.k itakuwa Morrison? Jamaa mpira ana uweza.hatuwezi mkosoa MPIRA ANA UWEZA SIMBA WAMETUZIDI.
MIPOVU ruksaSasa unakereka nini? Hukum J3, itareveal vitu vingi sana hasa kama Morrison atakuwa ameshinda. Vichache ni:-
1. Simba, serikali na tff=1
2. Kaimu katibu mkuu na Eng Hersi hawajui mambo ya mikataba. Wa kwanza uwakili wake utatiliwa shaka.
3. Hili limedhihirika. Simba bila makandokando haitoboi kwa Yanga. Ni kuwavuruga Morrison na Papy kulikowapa matokeo
Tulia sindano iwaingieHebu tuonyeshe hiyo saini ilofojiwa
Kama yanga wanamtaka sure boy watoe pesa ile sio coastal au alliance ya wachezaji wa bei rahisiSijui hata kama michezo uafwatilia mkuu ishu ya sure boy sijui hata kama unajua ilianzaje naona umekurupukia tu.
Ishu ni Yanga walipeleka maombi ya kumnunua sababu bado anamkataba wa mwaka 1 na mchezaji akaomba kuondoka katika uongozi wa Azam.
Azam wakawaruhusu yanga kuleta ofa yao na yanga wakapeleka 20m azam wakawajibu hiyo ndogo na gharama ya sure boy ni 40 wakati yanga hawajajibu kitu azam wakaleta pendekezo la 70m + feisal .
Kuwa mtulivu, najua watanzania hatujui kusubiri muda uamue. Hamchelewi kuja kusema waliomsajili waliona mbali. Tusubiri tuoneMkuu umeona upumbavu waliofanya viongozi wetu...walahy nimekereka mno huyu hastahili kuvaa Nyekundu.View attachment 1530932