SOCIOLOGISTTZ
JF-Expert Member
- Jun 16, 2013
- 2,615
- 927
Marahabaa mtoto mzur, Nimeipenda salam ya wasukuma tu, karbu jf.Nawasalimu wote na mahali mtokapo, kwa wapare nawaambia Kishi, kwa wasukuma Nyoo, kwa wahaya emana, kwa wachaga Mbatu, kwa wamasai chabo nk
wanajamvi hii ni mra yangu ya kwanza kuja huku hivyo najitambulisha rasmi,
Asanteni wadau
tehe! tehe! tehe! .......nashukuru sanaUna mbatu wewe....!? Karibuu
asante mkuuKaribu jamvini
Nashukuru sana JanethMarahabaa mtoto mzur, Nimeipenda salam ya wasukuma tu, karbu jf.
poa poa mkuuKaribu sana JF.
nashukuru mkuuKaribu JF
Nashukuru mkuuKaribu sana JF...