Shilawadu hapa mlipofikia ni too much

duuh, linex nae ajiangalie...maisha ya kuigiza siyo mazuri
 
Na huu nao ni uzalilishaji mwingine lau kama wewe usingeitoa hii post kile kipindi kilishapita na wapo ambao wala wasingejua kama kuna kitu kimepita ila baada ya wewe kutuma post yako hii kuna watu wengi wameanza kufuatilia huo ubuyu wako na kufika ktk upuyu wa akina sudi na kwisa hivyo wewe huna cha kumlaumu sudi kwa kuwa umefanya kilichofanywa na akina sudi

Sent from my SM-G930V using JamiiForums mobile app
 
Wasting your time watching those dumb boys is an absurd too!!
 
Wasting your time watching those dumb boys is an absurd too!!
Ujinga ni pale unapodharau kila kitu ukiamini wewe uko sahihi

A PERSON WHO SAYS IT'S IMPOSSIBLE SHOULD NOT INTERRUPT A PERSON WHO IS DOING IT

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
Acha kuwa na fikra mgando wewe Tz kuna watu zaidi ya 50m take an example watu 10m tu watazame kama wana akili wataelewa namaanisha nini hapa

Shida ni kwamba watanzania wengi wafinyu wa kuelewa maswala ya haki na wajibu wao. Huu sio ubuyu tena ni udhalilishaji ukiachilia mbali kuwa Linex ni msanii

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 

Bashite
 
Si mkapange mtaani kwanini mlazimishe maisha ya gharama hii kitu hua haikuachi salama

Sent from my GT-N7100 using JamiiForums mobile app
 
Hebu na wewe usiegemee upande mmoja tu! Kuna watu wamefukuzwa kazi wawili kwa hilo deni, mmoja anakatwa mshahara na amelalamika anakokaa kodi anadaiwa. Kwa hiyo linex afanye kumhudumia mkewe wenzie wamefukuzwa kazina walibaki wanakatwa mshahara?
Isingekuwa wamefukuzwa watu kazi tungesema ila hao sasa atawaajiri? Halafu angelala hotel za chini kama alijua hana pesa.
 
Kwahiyo kuudhalilisha utu wa huyo msanii kunabadilisha nini?
Waliofukuzwa watarudishwa kazini au hao shilawadu watamlipia kodi huyo mhudumu au?!

Hao wafanyakazi wangekuwa wanafahamu haki zao wasingefukuzwa kazi nahisi hata mikataba ya ajira hizo hawana na hawajui kama wanatakiwa kuwa nazo

Hoja hapa ni udhalilishaji sio huo upuuzi unaouzungumza wewe

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 

Hadi watu wamefukuzwa kazi wanaenda kuishije? Na bado unazungumzia kudhalilishwa kwake huku wenzie hawana ugali? Hebu uwajali hao vijana aisee
 
Ninapingana na hayo maredio na matv kwa sababu nikifanya tathmini sioni mchango chanya wa vipindi vingi vinavyorushwa kwenye jamii!

Kipindi chenyewe kinaitwa shilawadu, eti "shirika la wambea duniani"!

Mwanaume rijali kabisa na heshima zake anakaa kusikiliza umbea?

Tunajenga jamii ya aina gani?

Ieleweke, katika Ukristo imeshasemwa, Wambea na wamajungu hawataurithi ufalme wa mbingu. Ni dhambi kama nyingine - hakuna dhambi inayojenga jamii!

Kazi ni kwako!

LoRd JeSuS ChRiSt - The Creator Of All.
 
Linex nae tatizo unaishije gest hadi gharama kufikia milioni moja na ushee. Zama hizi nani atakukubalia ule, unywe na ulale hadi ifikie hiyo gharama? Binafsi nawapongeza kwa kumuibua Hawa ili asaidike na ajisaidie pia. Ilinigusa mno. Big up shilawadu kwa kuisaidia, kuelimisha, na kuburudisha jamii

Sent from my TECNO-W3 using JamiiForums mobile app
 
Acha kudandia gari kwa mbele wewe umesoma tarehe kipindi hicho kiliporushwa.Na hawa shilawadu wanatumia ujinga wa watanzania kuishi.

Upumbavu huu hauwezi kufanywa kwenye ulimwengu wa wastaarabu ila ni huku kwenye mambumbu asilimia 99

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
Ila kuonesha nguo ya mtu ya ndani haikuwa fair tena anainyanyua afu anasema cjui haijaoshwa afu nimeshika....khaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…