Shilawadu hapa mlipofikia ni too much

Wewe nae usimshirikishe Mungu kusapoti ujinga wako

Kama huelewi hoja ya msingi funga domo lako hilo

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
Wasanii wa tanzania nao wajifunze kuishi kwa vipato vyao sio kupenda bure
 
Nchi ya viwanda. Wengine wanabuni viwanda vya umbea na kufuatilia maisha ya watu .kwa mtaji huu lini tutakua kama china au japan. Siasa. Udaku. Umbea. Vimetawala. Wahusika tubadili jamii. Tuongeze uwezo wa kubuni na kufikiri. Vitu vya maendeleo. Sio umbea

Sent from my TECNO-W3LTE using JamiiForums mobile app
 
Ila kuonesha nguo ya mtu ya ndani haikuwa fair tena anainyanyua afu anasema cjui haijaoshwa afu nimeshika....khaaaa
Kwa kifupi huu sio ustaarabu ni upuuzi wa kutafuta kiki za kipumbavu unaofanywa na haya mabwabwa yanayomumunya ubuyu

Siku zote najua ubuyu huliwa na wanawake wajawazito na watoto sasa sijui Kwisa na mwenzio mnaji..ngua lini tuje tuwaletee vinepinepi?!

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
Wamekutuma uwasafishe. Shilawadu ni upuuzi unaofanywa na wapuuzi kwa kutumia ujinga wa watanzania

Katika ulimwengu wa wastaarabu huu uharo wa kiume hauwezi kukubalika. Hakika nawaambieni hatma yenu haiko mbali sana. Ikiwezekana anzeni kutafuta cha kufanya kabla mambo hayajaharibika

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 


Sent from my TECNO-Y4 using JamiiForums mobile app
 
walionyesha mpaka boxer ya msanii wetu

Sent from my TECNO_W4 using JamiiForums mobile app
 
wawaulize kina joti na kipengele chao cha umefulia, au kile walichokuwa wana act wagonja mf. mrema
 
Am quite sure muda hauko mbali hawa wamumunya ubuyu watapata mshahara wao

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
 
Wewe nae usimshirikishe Mungu kusapoti ujinga wako

Kama huelewi hoja ya msingi funga domo lako hilo

Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
Ujinga wangu ni upi?

Hoja ya msingi ni ipi?

We unapanda gari unaenda Moro kufuatilia mwanaume mwenzako anadaiwa, we madeni yako nani alitangaza?

Hicho kipindi kinaisaidia vipi jamii?

Mnavuruga jamii ili tu kupata umaarufu!

Alaf jaribu kuwa mstaarabu, maswala la kuniambia "nifunge domo langu" jiheshimu!

LoRd JeSuS ChRiSt - The Creator Of All.
 
nina mwaka sasa sijatazama shilawadu hawana jipya
 
Mwanaume kuangalia hiki kipindi ni ush..ga

GOD is good
 
Ni kusema ukweli ILA tatizo ni kwamba hujaruhusiwa!!!!!!!

Sent from my Startimes Nova N5 using JamiiForums mobile app
Umbeya ni uzushi au tukio la ukweli au si la kweli.
Jamii sasa imebadilika sana. Angalia miziki yetu ya bongo fleva now. Imebadilika kwahiyo km ni kuonyesha boxer ni makosa. Leo usingeona boxer au chupi zinauzwa mitaani hata kwenye minada.
Hicho ni kipindi cha wakubwa. Km kuna mtoto wako huwa anaangalia. Chapa fimbo akalale
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…