Mashimba Son
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 1,125
- 1,397
Huyu linex kesi za madai nyingi kuliko Show anazofanyaHebu na wewe usiegemee upande mmoja tu! Kuna watu wamefukuzwa kazi wawili kwa hilo deni, mmoja anakatwa mshahara na amelalamika anakokaa kodi anadaiwa. Kwa hiyo linex afanye kumhudumia mkewe wenzie wamefukuzwa kazina walibaki wanakatwa mshahara?
Isingekuwa wamefukuzwa watu kazi tungesema ila hao sasa atawaajiri? Halafu angelala hotel za chini kama alijua hana pesa.
Mbona hata uncle wa Kanda ya ziwa nae anatazama acha majunguMwanaume unakaaje na kuanza kusikiliza shilawadu?
Hahaha kweli broNa huu nao ni uzalilishaji mwingine lau kama wewe usingeitoa hii post kile kipindi kilishapita na wapo ambao wala wasingejua kama kuna kitu kimepita ila baada ya wewe kutuma post yako hii kuna watu wengi wameanza kufuatilia huo ubuyu wako na kufika ktk upuyu wa akina sudi na kwisa hivyo wewe huna cha kumlaumu sudi kwa kuwa umefanya kilichofanywa na akina sudi
Sent from my SM-G930V using JamiiForums mobile app
Hao shilawadu nawaskia skia,Sema wanavofanya sio poaSudi na huyo mbea mwezio wa kiume mmefikia hatua mbaya ya kushindwa kutunza heshima za watu.
Kipindi chenu cha tar 14th/07/2017 hakikuwa cha kistaarabu pale ambapo mlifika KIBONA HOTEL na kuanza kuonyesha hadi mavazi ya ndani za mwanamuziki LINEX kisa kashindwa kulipia bili na kuacha mali zake hapo. Hicho ni kitendo kibaya na sio cha kiubinaadamu.
Hata hivyo kudaiwa ni jambo la kawaida kwani hata serikali inadaiwa na jamaa kaeleza hali hiyo ilijitokeza kutokana na hali ya kujifungua ya mkewe.
My take kwenu Sudi na Kwisa fanyeni kazi lakini tambueni mipaka yenu msikiuke haki za binadamu. Ipo siku mtamfanyia muelewa hatowaacha salama.
Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
kudadavua mambo ya kweli bila kibali.Umbeya maana yake nn?