Shilawadu: Harmonize aeleza jinsi alivyompata Mchumba wake Mzungu

ObieTrice

Senior Member
Joined
Jun 27, 2017
Posts
159
Reaction score
154
Harmonize asema hiyo siku alimkuta akiwa na Bodguard zake wawili akiwemo mmoja yule mmasai anaesemekana kuwa ni mpenzi wake wa zamani. Walisalimiana na Kupeana namba na baadaye yule mzungu ambaye ni sarah alikuwa wa kwanza kumtafuta Harmonize. Wakachati wakatongozana sasa hivi wanategemea mtoto.

Harmonize Zari la Mentali au angebaki na Wolper?​
 
Mzungu haeleweki ni mzuri au mbaya Wa sura kila saa jicho nalo limetolewa kama linang'oka vile..umri nao hujui ni kijana au Mzee na kila SAA sura imenuna nuna .....kipendacho roho kwl hula nyama mbichi
 
[emoji109] [emoji109]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…