Shilawadu mnaelekea kaburini kuna la kujifunza toka kikundi cha ze Comedy ya Masanja

Hawa jamaa baada ya kuweka entertainment kama lengo No. 1 wao wanalenga pesa.....ndo maana wanazidi kushuka kila siku
 
Clouds wanachokera matangazo, yani katika dakika 30, ni 10 tu za kipindi zilizobaki ni matangazo kero sana
 
Wanaongelea mambo za shilawadu na wewe ze dudu kama upo hivyo ni mwanaume wa dar
binafsi sijawahi kuangalia icho kipindi ila huwa namsikiliza big chawa kwenye planet bongo nae ana maudhui hayohayo ila ilo jina la wanaume wa dar silipendi
 
h
Ife tu,haina tija yoyote kwa jamii.na kama mleta uzi ni mwanaume inakupasa ujitathmini upya.
halafu na wewe ukapata muda wa kuusoma uzi na kutupia neon.nini kimekuleta huku
 
C.c wanaitaji kupimwa mkojo wote wanaume wanaochek iki kipind
 
Mkuuu kipindi pendwa hapa town kwan ujui??????
Ha ha ha..kwa kweli mimi nilikuwa nasikiaga tu shilawadu shilawadu, na sikuwa najua kinarushwa TV gani hadi pale ile kashfa ya mwanaume anaejiamini kuliko wote hapa Dar alipovamia kwa mitutu ndo nikaipata kuwa kumbe ni Station ile paleee njia panda ya Cocacola
 
Wanaongelea mambo za shilawadu na wewe ze dudu kama upo hivyo ni mwanaume wa dar
kuna mwanaume wa mkoani, aliehamia Daslam niliwahi kumshangaa sana eti akipiga sim toka kwenye jumba jeupe pale magogoni akiisifia shilawadu....[emoji13] [emoji13] [emoji13]
 
Katika siku ambazo nakunywa bia kwa raha ni ijumaa maana mama watoto anakua katulia anaangalia huo wehu basi nakua zangu kaunta hakuna kupigiwa simu zile za unarudi saa ngapi akianza kuniulizia nikisogeza masaa yangu mawili mbele sio haba aiseeeee,VIVA clouds na hicho kipindi naomba kidumu milele ila sijawahi kuamini kua kuna njemba serious zinaangalia hizo makitu.
 
shilawadu Ni Mashoga, Mwanaume Rijali Hafuatilii Maisha Ya Mtu Anafuatilia Pesa
Akili kubwa asante sana ka mkubwa kwa kuusema ukweli ni aibu sana mwanaume kuacha kuangalia vitu vya maana na kuangalia umbea ambao hauna miguu SHILAWADU wanafeli sana na skendo zao zisizokuwa na tija
 
Ule muda wa kipindi mimi siwez kuwa macho na hata nikiangalia nitasinzia
 
We
Ivi naomba kuuliza, kuna wanaume wanakaa kabisa kukodolea TV macho kuangalia hiki kipindi? mimi huwa nakisikia tu
wanaume wa ukweli ni wale wanaoangalia kipindi maalumu cha serikali kuhamia Dodoma(tbc) au Le mutuz online tv live
 
Hicho kipindi sijawah kukiangalia, huwa nakisikia tu
 
Sio kipindi tu, mpaka watangazaji na watazamaji wa hicho kipindi bora wafe tu wote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…