SHILAWADU: Nasubiri Rais apige simu kuwish birthday

ZE NDINDINDI

JF-Expert Member
Joined
Sep 19, 2016
Posts
1,885
Reaction score
4,012
Naangalia marudio ya kipindi cha shilawadu hapa, Kwisa anasema ni birthday yake na sababu mheshimiwa Rais Magafuli ni mdau mkubwa wa kipindi hicho wanategemea simu ya kumu wish happy birthday.

Honestlyit cant get low than that, ni kweli kwamba Rais Magufuli binafsi alisema yeye ni mshabiki mkubwa wa kipindi hicho ambacho pia kuna episodes walidiscuss kibamia cha mdau mkubwa CCM.

Kwa kifupi ni kwamba Rais anafurahia content za kipindi cha SHILAWADU ila at the same time analalamika maadili yanatoweka, wasaidizi wa Rais, embu jaribu kumuambia kuna vipindi kama utalii wa ndani, stadi za kazi na vinginevyo vingi kwenye local Tv yetu ambavyo vina positive results na vibe kwa young generation, kama kweli yupo serious na maneno yake na slogan yake ya hapa kazi tu ni vyema akavi endorse pia.

SHILAWADU leo wanaringia ile endorsement yake ya kipindi kile cha yule mwanamke kichaa aliyepangwa kumuaibisha Gwajima ika backfire
Dah, salalee hadi wanafikia hatua ya kusubiri Rais kupiga simu na ku wish happy b day ya mmbeya wa SHILAWADU.
 
Kwanza kwa wewe kuangalia hayo marudio ya kipindi cha shilawadu na wewe akili zako ni sawasawa kabisaa na hao shilawadu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…