Yeye ndo kafikisha dola 2400+?Source yenyewe ni profesa Ngowi..kwi kwi kwi
"Nilikuta dola moja inauzwa shilling 5000"Tafsiri ya hili bandiko kwa wasomaji wa kiswahili tafadhali. Tuliambiwa sisi ni d
'dona kantri'
"Tembeeni vifua mbere"Hahahahahaha huyo dikteta anaweza kabisa kutoa hiyo kauli maana akili yake anaijua mwenyewe. Oops! Nilisahau kumbe ni kichaa.
Sisi wabeba mizigo porters tukiona bandiko kama hili tunacheka tuu [emoji23]. kama nlikua nkipewa Dollar 100 napata 223400 sasa hivi kwa hiyo Dollar 100 ntakuwa napata 241500. so what shilingi kuanguka.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni wazi sasa huyu jamaa hakujiandaa kuongoza nchi kubwa kama hii.. Ni sawa na timu kubwa kuanza ligi huku wachezaji wakitokea nyumbani bila maandalizi wala kambi yeyote.Nchi iko kwenye “lait talk” Seriously!? 😳
Ni wazi sasa huyu jamaa hakujiandaa kuongoza nchi kubwa kama hii.. Ni sawa na timu kubwa kuanza ligi huku wachezaji wakitokea nyumbani bila maandalizi wala kambi yeyote.
Amesindikiza ndege yetu ya atclUtashangaa wana FREEZE ACCOUNT ZA USD$ za wafanyabiashara wa Tanzania nchini, halafu wanaitwa mmoja mmoja kuulizwa kipato chao na wamezipata wapi. Ukishindwa kujielezea unazulumiwa.
Haya ndio malipo ya kuwa na MDOMO UNAOROPOKA ROPOKA HOVYO, na KUJIFANYA MJUAJI. Akili zao hazina Akili, walivyokua wanalazimisha TRA kuwasumbua wafanyabiashara na kuwapiga kodi/fine za ajabu walitegemea nini. Na walivyokua wanatukana watu ambao walikuwa wanatupa misaada ya MILLIONS OF USD$ ANNUALY na kuwadhalilisha sijui walitegemea wataongezewa misaada zaidi.
Wana maamuzi ya ajabu sana hawa viumbe. Wanaweka VIONGOZI kwenye sekta muhimu, kuwaongoza watu wanaowazidiwa maarifa na elimu. Mfano Mkoa wa Dar Es Salaam una MA-PROFESOR, MULTI-BILLION BUSINESS MAN, HIGH COMISSIONS wangapi??? Na aliepewa mamlaka ya kuwaogoza je ana uwezo huo???
Sad to see where we are going.
Mpaka amalize miaka yake kumi tutaambiwa "Tufunge Mikanda" tuanze upya!Ni janga kubwa la Taifa huyu. Mafisadi Kikwete na Mkapa wametuletea balaa kubwa nchini na huyu mhutu.
Mpaka amalize miaka yake kumi tutaambiwa "Tufunge Mikanda" tuanze upya!
Kwani bongo kuna mbebaji mizigo anayelipwa kwa dola?Gharama za maisha zitakusubiri na hiyo 241500 yako? Au unamanisha wewe ni mbeba mabox upo US na kina @Nyaningabu
Sent using Jamii Forums mobile app
Aiseee hilo fagio la chuma litaleta kilio kikuu mtaani, shida ni kwamba watanzania hatuna uzalendo wa kweli, tungekuwa wazalendo wa kweli muda huu tungekua tunaongea mengine.Mikanda imeshaanza kufungwa, fagio la chuma dhidi ya wafanyakazi wa Serikali liko njiani kwa sababu kwa mwendo huu mishahara ni lazima iwashinde tu hivyo kutakuwa hakuna jinsi bali kupunguza wafanyakazi kati ya 25% to 40%.
Kwanza hakuna uhusino. According to economists hapo juu, vikwazo kwa investors, mazao kutouzwa na yote waliyoorodhesha ndo kiini plus kujenga infrustructres zinazohitaji dollars wakati tuna nunge !!!Watasema Lissu kawaambia mabeberu wasitupe misaada.
kupanda kwa dola ni mambo ya kawaida hata ulaya yanatokea haya
Ni kweli lakini wao wanaweka sababu hapohapo na huwa inashuka pia na zaidi wao siku zote wana balance trade maana wanauza kwa wingi na kununua sisi data lazima ziwekwe hadharana nini kiliingiza sana mwaka jana na leo nini kimeingiza tujuwe tumeteleza wapi. wenzetu stock exch wazi unaona biashara. hapa issue sio kuanguka tu ila sababu ni nini na forecast ikoje. sababu kubwa tuna export kidogo sana ila import almost kila kitu na hapo ndio tatizo kubwa sana.kupanda kwa dola ni mambo ya kawaida hata ulaya yanatokea haya