Ntemi Kazwile
JF-Expert Member
- May 14, 2010
- 2,182
- 308
mimi nimekuwa nikitembea na kina dada wanne kwa nyakati tofauti tofauti, na kwa kweli kila mmmoja ana uzuri wake, maumbile na kitabia pia! wa kwanza tatizo lake ni mvutaji sigara mmoja mzuri sanaa! japo yeye anaficha ila mimi najua hilo! wa pili ni mtoto wa kawaida tu, ila anaonekana ni mwongo mwongo sana, wa tatu pia ni msichana sanaa wa sura, naposema mzuri ni mzuri kweli si utani, ubaya wake kila anapopita haishi kuitwa itwa na watu wenye pesa, wa nne ni mdada mzuri wa wastani, japo kwa sasa naye nimemgundua kuwa kuna vitu anakuwa anajificha navyo,kuna wakati niliomba simu yake niitumie na nikaona kuwa kuna kila mara anawasiliana na mijitu miwili mabazo namba zake hajazipatia majina, ninasema vile kwani nilijaribu japo kwa dak. chache kuscrol namba hizo nikaona lamost ni kila siku namba hizo zinaingia! wana jf nipeni ushauri wenu kwani kwa sasa nimefikia makamo ya kutaka kuwa na mke wa kusihi naye, je ni yupi kati ya hawa anafaa?

Hutakiwi kumjibu kwa mdomo maana haitaleta maana kitu unachotakiwa kufanya tafuta avatar ya BOFLO then nenda kaimplement iwe ndio jibu lako kwake.....joke bana husije vunja ndoa. Jambo la muhimu ni kumweka chini your wife na kumweleza kiunagaubaga kipato cha na jinsi unavyostruggle kuyaweka maisha sawa...isije kuwa wife anahisi una small house somewhere else na ndo unakoacha burungutu kubwaUtajisikiaje pale unapompatia mam sap wako hela ya matumizi ya mwezi, kabulungutu kazito kidogo (kamafungwa kwenye bundles za ten ten) anazicheki halafu anauliza shilingi ngapi hizi (huku akiwa amekunja uso), bila hata kusema ahsante mume wangu... halafu wewe hapo umejikamua kinoma. TRA, pension na wenye madeni yao wamekamua, uko choka mbayaaaaaa.
Kama ungekuwa wewe ungelijibu nini