Ntemi Kazwile
JF-Expert Member
- May 14, 2010
- 2,182
- 308
Baada ya wiki kadhaa ya kuporomoka kwa thamani ya shilingi dhidi ya dollar ya Marekani ghafla imeanza kupanda... jana ilifikia hadi US$1 = Tshs 1,520 leo ghafla imepanda thamani na ku-gain kwa takribani shilingi 100 na sasa iko kwenye range za 1,430... wadau nini kimetokea na tutegemee nini?? Yeyote mwenye kujua sababu tafadhali atujuze.

No no nooo, Mkuu hapana kabisa, hakuna kupanda kwa stail hiyo kwa nchi kama TZ
Uzoefu ni kwamba kila mwisho wa mwezi tofauti ya exchange rate huwa inabadilika in favour of Sh. kwa sababu tu watu (hasa wafanyakazi wa nje) wanapata mishahara yao hivyo kunakuwa na ongezeko la dola kwenye circulation, hivyo kufanya soko liwe 'flooded' na dola.
Kuanzia tarehu 10 next month itarudi pale pale, keep following it up...
Mpaka waache ufisadi na waongeze uwajibikaji ndio itapanda, otherwise ... forget it!
Kaka,
Hali ndiyo hiyo, jana nimeuza US kwa rate ya 1,520. Leo hii mtu wa bank amenipigia kuuliza kama bado nina dolla na rate ya leo ilikuwa 1,430... na nimetoka JNIA sasa hivi na highest rate pale airport leo ni 1,422 (jana CBA kwenye board walikuwa na 1,510).... soo interesting
Hizi indicator za wakoloni zitawaumiza kichwa bure..better stick in production and satisfy our own market with our own quality goods. Hakuna njia ya mkato to success.
We subiri baada ya wiki utasikia 1600!!!
Au 1750!!!!