Kunta kinte1776
JF-Expert Member
- Feb 22, 2019
- 297
- 378
Mchoma vifaranga na mwizi wa ng'ombe wa maasai akaingia madarakani huku chuki dhidi ya wakenya ikitawala moyoni mwake. Wakenya ni watu wavumilivu sana. Wanajua kwamba upendo hauna chuki, upendo huvumilia na ndio maana Mungu atazidi kuwabariki licha ya mapungufu walio nayo kwa maana Mungu huangalia roho za watu na sio sura zao kama watu Fulani waangaliavyo.MK254,lowassa mimi binafsi namkubali,yupo mature sana sio kama vibaka wa CCM,nakumbuka katika kampeni zao za mwaka wa 2015,aliahidi kuimarisha na kukuza biashara kati ya kenya na tanzania,unfortunately he lost...
Kwa viongozi wote wa kitanzania Lowassa ni mwanamke tu bure kabisa,sasa kama hana msimamo angekua Rais nchi angeiongoza vipi?amenunuliwa vipeni vidogo tu akakimbia akaenda CCM akasafishwa sasa ufisadi umeisha ila kilichomtoa chadema ameogopa makali ya Tundu lisu,#Chademasihami.Ccm oye, Lowasa oye.
Lakini Lowassa leo ameonekana hovyo mno angevulimilia tu abaki chadema ina maana hakukua na wakati wa kuwania urais alilifanya hilo kutokana na ulafi wake ila sio Kwa masilahi ya watanzania.Hahaha, mambo ya wanasiasa especially ccm na chadema sijawahi yachukulia serious, Ni kama vile ile βhandshake β
Mwanasiasa akikwambia usiku mwema nenda nje kahakikishe kama kweli ni usiku ndio umwitikie.
Hahaha, mambo ya wanasiasa especially ccm na chadema sijawahi yachukulia serious, Ni kama vile ile βhandshake β
Mwanasiasa akikwambia usiku mwema nenda nje kahakikishe kama kweli ni usiku ndio umwitikie.
Ha ha Pingli-nywee,aisee nakwamba nilicheka kwa nyumbaππππ ,Lol jamaa ati anafufua maiti,alafu lijamaa linaamka kwa sanduku mdomo wazi,wafuasi nao ndio hao na shangwe,nderemo na vifijo,hii africa mtu wangu si hamiππππ, Young D ili bidi ramaphosa ameingilia na ka uwoga fulani fulaniπ
CCM chama Dume, huwezi kutenganisha CCM na watanzania ni kama chama cha ki Communist cha China, CCM ni chama kikongwe Africa. Ni kati ya vyama vichache duniani ambavyo vimekamata mamlaka bila kushindwa tokea viwepo.Tanzania sasa hivi hapaeleweki, hata kiongozi rasmi wa upinzani bwana Lowassa amehamia chama kikuu na ametangaza live kwa TV. Watz mkichwa kwa sasa ni full confusion.
πππ He was there for the special mission which is successfully accomplished and of course CCM has it's undercovers spreaded to each promising party for special reasons.MK254,lowassa mimi binafsi namkubali,yupo mature sana sio kama vibaka wa CCM,nakumbuka katika kampeni zao za mwaka wa 2015,aliahidi kuimarisha na kukuza biashara kati ya kenya na tanzania,unfortunately he lost...
Mtanzania mmoja tu anaweza kulisha mayai Kenya nzima, sasa kwa nini tusiwalinde wakulima wetu wa ndani?Mchoma vifaranga na mwizi wa ng'ombe wa maasai akaingia madarakani huku chuki dhidi ya wakenya ikitawala moyoni mwake. Wakenya ni watu wavumilivu sana. Wanajua kwamba upendo hauna chuki, upendo huvumilia na ndio maana Mungu atazidi kuwabariki licha ya mapungufu walio nayo kwa maana Mungu huangalia roho za watu na sio sura zao kama watu Fulani waangaliavyo.
1$= 99KES .....na bado. Utulivu wa Kenya kisiasa ni baraka ya aina yake. Mambo yaendelee hivyo hivyo. Tutafika tu, Inshaalah.
Ksh inazidi kupanda sisi huku Tsh inaelekea kuwa kama hela ya Zimbabwe
Hapa Kazi Tu[emoji1321]ββοΈ
mungu anakucheki hivi, mbinguni wewe huingii...
View attachment 1035529
Stereotypes of revolutionary parties misunderstood.in contemporary times the so called revolutionay parties in africa have become obsolete,they have run out of their mandate and have been overtaken by events,CCM,ANC ZANU-PF,etc did a stellar job to fight for independence and dignity of their people,and the african people will forever be grateful,but its 2019 and africa need new ideas and ideology to lift millions out of poverty,you see, most of this parties were formed with the sole aim of liberation from imperialism,not to forge ideologies that will guide africans onto a path of self-realisation,progress and economic prosperity,50 years later and they still holding onto power with the bush mentality,they have no idea to run a country,poverty,unemployment,hunger,crime are rising at alarming levels. Anyway, to cut a long story short,africa need new,energitic,visionary young blood for it to realise prosperity,for instance,Tanzania has all it takes to be developed,vast arable land,rich minerals,huge labour force,exclusive tourist attractions,long coast line etc but a vast majority of its people are reeling in poverty and hopelessness,tanzania will do better without CCM retrogressive,primitive and backward ideas. Cc REDEEMER
Tokea uncle magu aingie madarakani biashara Kati ya Kenya na Tz imepungua kutoka karibia $400m Hadi Chini ya $180m ..... Sasa sijui hapa Nani kafaidika Kati ya huu uhasama wa kutengenezwa na watu wachache..MK254,lowassa mimi binafsi namkubali,yupo mature sana sio kama vibaka wa CCM,nakumbuka katika kampeni zao za mwaka wa 2015,aliahidi kuimarisha na kukuza biashara kati ya kenya na tanzania,unfortunately he lost...
Uhasama wa Kenya na Tanzania upo humu jamii forum peke yake basiTokea uncle magu aingie madarakani biashara Kati ya Kenya na Tz imepungua kutoka karibia $400m Hadi Chini ya $180m ..... Sasa sijui hapa Nani kafaidika Kati ya huu uhasama wa kutengenezwa na watu wachache..
Kwa upande mwengine biashara Kati ya Uganda na Ke imezidi kuongezeka Hadi imefika $1.2B tena Uganda ndo imeuzia Kenya zaidi kama $650m Vs $550m mpaka M7 juzi alikua anajisifia vile Kwa mara ya Kwanza wametuuzia bidhaa nyingi kuliko tulichowauzia...
Kenya na Tz ndo tunaongea Kiswahili zaidi kuliko nchi nyengine yoyote, naelewa mandugu hupigana na hukosana mara nyingine lakini tunachofanyiana saahii ni uovu mtupu... Badala ya kusonga mbele tunazidi kurudi nyuma kwasababu ya ego za kitoto.. Tunafaa by now tuwe tunajua, hakuna nchi yoyote hapa EA itandelea Hadi kua industrialised country bila kua na uhusiano mzuri na majirani wake...
Angalia nchi kama Mexico vile Uchumi wake imekua Kwa Kasi kwasababu ya kuuzia bidhaa USA, Zimbabwe iko na sanctions kibeo lakini kwasababu ya kua na mpaka na SA nchi Yao bado ni Safi Sana ukiitembelea wako na maendeleo tena karibu kila mtu amesoma licha ya matatizo yote walio nayo..
father m~dwarf. A pity!Uhasama wa Kenya na Tanzania upo humu jamii forum peke yake basi
Note
Tanzania ndio baba wa ukanda huu
Sent using my iPhone using jamiiforum app