Shilingi ya Tanzania itaimarika lini dhidi ya Kenya shilingi (KES) au Dollar ?

Mtambachuo

JF-Expert Member
Joined
May 6, 2023
Posts
1,907
Reaction score
3,560
Ina sikitisha sana leo hii ukienda kubadilisha fedha ya Tanzania
kwa dollar au kwa shiling ya Kenya rate ni kama ifuatavyo

1 US Dollar unatakiwa utoe 2700 Tsh

1 Ksh itabidi utoe 25 Tsh

Swali kwa Wana uchumi je kuna jitihada zozote za kuinusuru shiling yetu iwe na

thamani kwa sababu hata shiling ya Uganda pia imetukaribia sana.
 
Mkuu hapa Nairobi maisha ni ghali sana, japo kwa hapa ni 1ksh = 23.9 Tsh, Tusker na Balozi ni 8500 yaani 350, mashenzini bei ya mwisho 230ksh, imported 500ksh, mwaka juzi niliwahi kupita hapa 1ksh = 16Tsh, sasa sijui ni uchumi wetu ndiyo unakua

lakini nikuthibitishie, mtanzania mlevi wa bia tu za kawaida Dar mfano Safari na Serengeti, huku ataishia kunywa chang'aa ama muratina, maana pesa haitotosha kunywa bia,
 
Una justify kwa kigezo cha bei ya bia mkuu, mimi siongelei mfumuko wa bei.
Inawezekana serikali ya Ruto wameongeza kodi kwenye bia.

Je vipi kwa Uganda ambapo Kampala vyakula ni bei nafuu zaidi ya Dar
na shilingi yao ina imarika kila kukicha ukilinganisha na yetu.

Any way wasalimie hapo Kamukunji Grounds.
 
Tunaagiza karibu Kila kitu Hadi plastic, imagine Leo "charging valve" unanunua moja ni elfu moja kamili Sasa piga hesabu china hiyo valve ni shilingi ngapi, hicho tunaagiza pia...tunaagiza vitu vidogo dogo ambavyo kama tungeamua kama taifa vyote tungekuwa navyo nchini, Leo hii Kenya anatuuzia vitu kibao ambavyo kimsingi tunao uwezo wa kuvizalisha... Leo hii sisi ni soko la raw materials, east afrika inakuja TZ kununua raw materials then hao wanatembea, mazao yakitoka shambani yanauzwa hivyo hivyo...kiukweli tunajifariji tu lakini Bado tuko kwenye ukoloni na utumwa wa kifikra.
 
Ina sikitisha sana afadhali raisi Museven yeye anawaambia

Wawekezaji wajenge viwanda hapo hapo Uganda. Sisi tuna nunua kila kitu.
 
Fedha yetu haiwezi kuimarika wakati njia rahisi kutajirika nchi ni kuchukua forex na kwenda China,Dubai na siku hizi Uturuki kununua kila upuuzi mpaka disposable vidoli vya plastic sindano na Oh my Lord hata chupi.
Mwigulu anafurahia makusanyo ya TRA bandarini na Kariakoo badala ya mauzo yetu ya korosho na mkaa wa mawe nje .
Kama si dhahabu tungeshindwa kuagiza hata mafuta.
 
Kenyan Shilling ni 15 Tsh kwa Free market na hiyo ilijionyesha this February.
Wakenya wakauza infrastructure bond, ikawa hadi oversubscribed, iKES ikarudi 22TSH.
Wakati wa Maghufuli Shilling ilikuwa stable sana, ila sasa hivi nadhani inaanza kuchezewa na sijui nani.
But in reality KES inawekwa juu kithamani but won't get you much in Kenya.
 
Statement yako ya mwisho embu idadavue mkuu
 
Fedha yetu haiwezi kuimarika wakati njia rahisi kutajirika nchi ni kuchukua forex na kwenda China,Dubai na siku hizi Uturuki kununua kila upuuzi mpaka disposable vidoli vya plastic sindano na Oh my Lord hata chupi.
Mwigulu anafurahia makusanyo ya TRA bandarini na Kariakoo badala ya mauzo yetu ya korosho na mkaa wa mawe nje .
Kama si dhahabu tungeshindwa kuagiza hata mafuta.
Ina sikitisha sana lini tutaanza kuzaliasha angalau vitu vidogo vidogo hapa hapa Tanzania.
 
Ina sikitisha sana leo hii ukienda kubadilisha fedha ya Tanzania
kwa dollar au kwa shiling ya Kenya rate ni kama ifuatavyo

1 US Dollar unatakiwa utoe 2700 Tsh

1 Ksh itabidi utoe 25 Tsh

Swali kwa Wana uchumi je kuna jitihada zozote za kuinusuru shiling yetu iwe na

thamani kwa sababu hata shiling ya Uganda pia imetukaribia sana.

Hilo mimi halinisumbui kabisa maana kuna nchi nyingi sana maisha ni hatari lakini exchange rate ni imara sana. Je unajua kwamba dollar 1 ya marekani ni sawa na Japanese Yen 150? Wakati huo huo dollar moja ya marekani ni sh 130 ya kenya. Yaani cha maana ni kukazana kuzalisha bidhaa zaidi na kuwa na uchumi jumuishi na kuuza zaidi nje.
 
Ina sikitisha sana leo hii ukienda kubadilisha fedha ya Tanzania
kwa dollar au kwa shiling ya Kenya rate ni kama ifuatavyo

1 US Dollar unatakiwa utoe 2700 Tsh

1 Ksh itabidi utoe 25 Tsh

Swali kwa Wana uchumi je kuna jitihada zozote za kuinusuru shiling yetu iwe na

thamani kwa sababu hata shiling ya Uganda pia imetukaribia sana.
Balance of Trade kati ya hizi nchi umetaja na TZ ikoje? Jibu ni kwamba wanauza zaidi kwetu kuliko tunavyouza kwao, so obviously lazima sarafu zao ziwe na nguvu kuliko ya kwetu
 
Ina sikitisha sana leo hii ukienda kubadilisha fedha ya Tanzania
kwa dollar au kwa shiling ya Kenya rate ni kama ifuatavyo

1 US Dollar unatakiwa utoe 2700 Tsh

1 Ksh itabidi utoe 25 Tsh

Swali kwa Wana uchumi je kuna jitihada zozote za kuinusuru shiling yetu iwe na

thamani kwa sababu hata shiling ya Uganda pia imetukaribia sana.
Kulingana na trend ya kihesabu hapo chini binafsi niseme bila kumung'unya maneno kwamba " Hakuna matumaini".
Screenshot_20241013_214103_Samsung%20Internet.jpg

View attachment 3124191
 
Mkuu hapa Nairobi maisha ni ghali sana, japo kwa hapa ni 1ksh = 23.9 Tsh, Tusker na Balozi ni 8500 yaani 350, mashenzini bei ya mwisho 230ksh, imported 500ksh, mwaka juzi niliwahi kupita hapa 1ksh = 16Tsh, sasa sijui ni uchumi wetu ndiyo unakua

lakini nikuthibitishie, mtanzania mlevi wa bia tu za kawaida Dar mfano Safari na Serengeti, huku ataishia kunywa chang'aa ama muratina, maana pesa haitotosha kunywa bia,

[emoji3][emoji3][emoji3] kama imported ni 500 hiyo balaa
 
KITAIFA: UCHUMI UMEKUA, TUNAMSHUKURU SANA MAMA.
HAIJAWAHI TOKEA KTK HISTORIA YA HII NCHI.
MPAKA NCHI ZA KIGENI ZINA TAMANI KUPATA RAIS KAMA WETU..

KIMATAIFA: *****************************************
*****************************************
*****************************************
 
Una justify kwa kigezo cha bei ya bia mkuu, mimi siongelei mfumuko wa bei.
Inawezekana serikali ya Rutio wameongeza kodi kwenye bia.

Je vipi kwa Uganda ambapo Kampala vyakula ni bei nafuu zaidi ya Dar
na shilingi yao ina imarika kila kukicha ukilinganisha na yetu.

Any way wasalimie hapo Kamukunji Grounds.
Una justify kwa kigezo cha bei ya bia mkuu, mimi siongelei mfumuko wa bei.
Inawezekana serikali ya Rutio wameongeza kodi kwenye bia.

Je vipi kwa Uganda ambapo Kampala vyakula ni bei nafuu zaidi ya Dar
na shilingi yao ina imarika kila kukicha ukilinganisha na yetu.

Any way wasalimie hapo Kamukunji Grounds.
huna akili ya ulichokiandika, kaa hapo utulie, ndiyo maana ukajiita Mtamba chuo,
 
KITAIFA: UCHUMI UMEKUA, TUNAMSHUKURU SANA MAMA.
HAIJAWAHI TOKEA KTK HISTORIA YA HII NCHI.
MPAKA NCHI ZA KIGENI ZINA TAMANI KUPATA RAIS KAMA WETU..

KIMATAIFA: *****************************************
*****************************************
*****************************************
Kweli kabisa tunaye raisi jembe sasa hivi dola imeshuka mpka 1500,sukari imeshuka mpka 1500@kg kweli urojo unaleta maendeleo
 
Back
Top Bottom