Mtambachuo
JF-Expert Member
- May 6, 2023
- 1,907
- 3,560
Una justify kwa kigezo cha bei ya bia mkuu, mimi siongelei mfumuko wa bei.Mkuu hapa Nairobi maisha ni ghali sana, japo kwa hapa ni 1ksh = 23.9 Tsh, Tusker na Balozi ni 8500 yaani 350, mashenzini bei ya mwisho 230ksh, imported 500ksh, mwaka juzi niliwahi kupita hapa 1ksh = 16Tsh, sasa sijui ni uchumi wetu ndiyo unakua
lakini nikuthibitishie, mtanzania mlevi wa bia tu za kawaida Dar mfano Safari na Serengeti, huku ataishia kunywa chang'aa ama muratina, maana pesa haitotosha kunywa bia,
Ina sikitisha sana afadhali raisi Museven yeye anawaambiaTunaagiza karibu Kila kitu Hadi plastic, imagine Leo "charging valve" unanunua moja ni elfu moja kamili Sasa piga hesabu china hiyo valve ni shilingi ngapi, hicho tunaagiza pia...tunaagiza vitu vidogo dogo ambavyo kama tungeamua kama taifa vyote tungekuwa navyo nchini, Leo hii Kenya anatuuzia vitu kibao ambavyo kimsingi tunao uwezo wa kuvizalisha... Leo hii sisi ni soko la raw materials, east afrika inakuja TZ kununua raw materials then hao wanatembea, mazao yakitoka shambani yanauzwa hivyo hivyo...kiukweli tunajifariji tu lakini Bado tuko kwenye ukoloni na utumwa wa kifikra.
Statement yako ya mwisho embu idadavue mkuuKenyan Shilling ni 15 Tsh kwa Free market na hiyo ilijionyesha this February.
Wakenya wakauza infrastructure bond, ikawa hadi oversubscribed, iKES ikarudi 22TSH.
Wakati wa Maghufuli Shilling ilikuwa stable sana, ila sasa hivi nadhani inaanza kuchezewa na sijui nani.
But in reality KES inawekwa juu kithamani but won't get you much in Kenya.
Ina sikitisha sana lini tutaanza kuzaliasha angalau vitu vidogo vidogo hapa hapa Tanzania.Fedha yetu haiwezi kuimarika wakati njia rahisi kutajirika nchi ni kuchukua forex na kwenda China,Dubai na siku hizi Uturuki kununua kila upuuzi mpaka disposable vidoli vya plastic sindano na Oh my Lord hata chupi.
Mwigulu anafurahia makusanyo ya TRA bandarini na Kariakoo badala ya mauzo yetu ya korosho na mkaa wa mawe nje .
Kama si dhahabu tungeshindwa kuagiza hata mafuta.
Benki kuu ya Kenya inaingilia free market, kwa mfano last month iliuza bonds na kuifanya KES itoke from 160 to 130.Statement yako ya mwisho embu idadavue mkuu
Ina sikitisha sana leo hii ukienda kubadilisha fedha ya Tanzania
kwa dollar au kwa shiling ya Kenya rate ni kama ifuatavyo
1 US Dollar unatakiwa utoe 2700 Tsh
1 Ksh itabidi utoe 25 Tsh
Swali kwa Wana uchumi je kuna jitihada zozote za kuinusuru shiling yetu iwe na
thamani kwa sababu hata shiling ya Uganda pia imetukaribia sana.
Balance of Trade kati ya hizi nchi umetaja na TZ ikoje? Jibu ni kwamba wanauza zaidi kwetu kuliko tunavyouza kwao, so obviously lazima sarafu zao ziwe na nguvu kuliko ya kwetuIna sikitisha sana leo hii ukienda kubadilisha fedha ya Tanzania
kwa dollar au kwa shiling ya Kenya rate ni kama ifuatavyo
1 US Dollar unatakiwa utoe 2700 Tsh
1 Ksh itabidi utoe 25 Tsh
Swali kwa Wana uchumi je kuna jitihada zozote za kuinusuru shiling yetu iwe na
thamani kwa sababu hata shiling ya Uganda pia imetukaribia sana.
Kulingana na trend ya kihesabu hapo chini binafsi niseme bila kumung'unya maneno kwamba " Hakuna matumaini".Ina sikitisha sana leo hii ukienda kubadilisha fedha ya Tanzania
kwa dollar au kwa shiling ya Kenya rate ni kama ifuatavyo
1 US Dollar unatakiwa utoe 2700 Tsh
1 Ksh itabidi utoe 25 Tsh
Swali kwa Wana uchumi je kuna jitihada zozote za kuinusuru shiling yetu iwe na
thamani kwa sababu hata shiling ya Uganda pia imetukaribia sana.
Mkuu hapa Nairobi maisha ni ghali sana, japo kwa hapa ni 1ksh = 23.9 Tsh, Tusker na Balozi ni 8500 yaani 350, mashenzini bei ya mwisho 230ksh, imported 500ksh, mwaka juzi niliwahi kupita hapa 1ksh = 16Tsh, sasa sijui ni uchumi wetu ndiyo unakua
lakini nikuthibitishie, mtanzania mlevi wa bia tu za kawaida Dar mfano Safari na Serengeti, huku ataishia kunywa chang'aa ama muratina, maana pesa haitotosha kunywa bia,
Una justify kwa kigezo cha bei ya bia mkuu, mimi siongelei mfumuko wa bei.
Inawezekana serikali ya Rutio wameongeza kodi kwenye bia.
Je vipi kwa Uganda ambapo Kampala vyakula ni bei nafuu zaidi ya Dar
na shilingi yao ina imarika kila kukicha ukilinganisha na yetu.
Any way wasalimie hapo Kamukunji Grounds.
huna akili ya ulichokiandika, kaa hapo utulie, ndiyo maana ukajiita Mtamba chuo,Una justify kwa kigezo cha bei ya bia mkuu, mimi siongelei mfumuko wa bei.
Inawezekana serikali ya Rutio wameongeza kodi kwenye bia.
Je vipi kwa Uganda ambapo Kampala vyakula ni bei nafuu zaidi ya Dar
na shilingi yao ina imarika kila kukicha ukilinganisha na yetu.
Any way wasalimie hapo Kamukunji Grounds.
Kweli kabisa tunaye raisi jembe sasa hivi dola imeshuka mpka 1500,sukari imeshuka mpka 1500@kg kweli urojo unaleta maendeleoKITAIFA: UCHUMI UMEKUA, TUNAMSHUKURU SANA MAMA.
HAIJAWAHI TOKEA KTK HISTORIA YA HII NCHI.
MPAKA NCHI ZA KIGENI ZINA TAMANI KUPATA RAIS KAMA WETU..
KIMATAIFA: *****************************************
*****************************************
*****************************************
Jibu hoja acha makasiriko.huna akili ya ulichokiandika, kaa hapo utulie, ndiyo maana ukajiita Mtamba chuo,