Kati ya mambo yanayonifanya ninyongee ndani ya Taifa langu, ni pamoja na thamani ya shilingi. Mimi sio mchumi lakini najisikia vibaya sana niendapo Dukani hasa ya wahindi ambako natakiwa nilipe kwa US Dollars ndani ya nchi yangu. Ajabu mamlaka zinazohusika wanaishia kujisifu tu eti Wachumi First Class. Shilingi yetu ni dhalili sana ajabu naambiwa baadhi ya taasisi za serikali nazo wanalipana kwa USDollars. Nani ataiokoa shilingi yetu??? Nani anauchungu nayo?? Nini kifanyike??