Shilingi ya Tanzania sasa yaanza kuimarika dhidi ya dollar ya Marekani

mockers

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2013
Posts
12,843
Reaction score
35,442
Wanabodi Salaam.

Kama nilivyoandika hapo juu shilingi sasa inaimarika kila kukicha tena kwa kasi ya ajabu .

Wanauchumi dadavueni vyema kama kuna uhusiano wowote na Magufuli.
 
Wanabodi Salaam.

Kama nilivyoandika hapo juu shilingi sasa inaimarika kila kukicha tena kwa kasi ya ajabu .

Wanauchumi dadavueni vyema kama kuna uhusiano wowote na Magufuli.

Si niliskia kuwa hazina hakuna fedha zimekombwa na rais mstaaf.

Inawezekana sarafu ya nchi husika ikapanda ilhali wizara husika fedha hakuna, hii imekaaje ?.

Hebu tujuzeni wajuvi wa mambo.
 
Wanabodi Salaam.

Kama nilivyoandika hapo juu shilingi sasa inaimarika kila kukicha tena kwa kasi ya ajabu .

Wanauchumi dadavueni vyema kama kuna uhusiano wowote na Magufuli.

Udaku tu hazina hakusagi mapene wewe
 
Ni kweli tukiendelea kupunguza ununuzi wa bidhaa kutoka nje, kuagiza magari ya serikali yasiyo na umuhimu wowote, tukihimizana kununua bidhaa zetu, tukianza kufufua viwanda, tukipunguza idadi wa wagonjwa tunaopeleka nje kutibiwa, kutangaza zaidi sekta zetu za utalii etc,,,shilingi yetu itaimarika..kwa hivyo mleta mada pamoja na kuwa wote tunafurahia hatua za mhe. Magufuli bado haziwezi kudhihirika haraka namna hii kwenye kupanda kwa thamani ya shilingi..tunayo kazi ya kufanya bado.
 
Kwani kupanda kupi kwa shillings ndio kunafanya sisi uchumi uwe bora? Kuna nchi zina devalue pesa zao ili ziweze kushindana kwenye kuuza nje. Currency si uchumi cha msingi ni stability. Lakini tatizo la kuporomoka kwa pesa yetu si la Tanzania bali ulimwengu wote wa nchi zinazoendelea. Kinachotokea ni kwamba investors wanaondoa mitaji yao kwa sababu ya kuimarika kwa uchumi nchi zilioendelea. Matokeo yake demand ya dollar inaongezeka na ku-weaken pesa za nchi nyingine. Pia kuyumba kwa uchumi wa China ambao ni wawekezaji wakubwa kwenye nchi zetu ni sababu nyingine.
 
kunaweza kuwa na uhusiano na Magufuli baada ya kupiga stop safari za nje ni wazi manunuzi ya dola yatapungua hivyo kufanya shilingi yetu iimarike zaidi pia tulikuwa kipindi cha uchaguzi hofu na vitu vingine viliathiri mambo ya biashara
 
Wanabodi Salaam.

Kama nilivyoandika hapo juu shilingi sasa inaimarika kila kukicha tena kwa kasi ya ajabu .

Wanauchumi dadavueni vyema kama kuna uhusiano wowote na Magufuli.

Nchi hii ina watu wanafiki sana ni hivi majuzi jamaa alileta uzi kama huu aliuliza hivi kwanini pesa iko chini kuliko Malawi au Somalia cha ajabu wana uchumi wetu walisema hakuna athali yoyote ktk hili na hata ingekuwa dola 1 kwa sh.100000 iweje leo mnaanza kusema sh.ina imarika
 
kwa JPM shilingi lazima iimarike itake isitake...SAFARI ZA NJE HAKUNA, kunywa JUICE ZA AZAM na KOROSHO manunuz ya Furniture za maofisini toka MAGEREZA/SUMA JKT kwa nini shilingi ishindwe kusimama?
 
Wanabodi Salaam.

Kama nilivyoandika hapo juu shilingi sasa inaimarika kila kukicha tena kwa kasi ya ajabu .

Wanauchumi dadavueni vyema kama kuna uhusiano wowote na Magufuli.

Suala la kujiuliza kwa shilling inashuka kipindi cha uchaguzi tu?
 
Wanabodi Salaam.

Kama nilivyoandika hapo juu shilingi sasa inaimarika kila kukicha tena kwa kasi ya ajabu .

Wanauchumi dadavueni vyema kama kuna uhusiano wowote na Magufuli.

Ukipunguza safari za nje unapunguza demand ya foreign currencies and hence unaaimarisha nguvu ya hela yako ya ndani. The theory of demand and supply inafanya kazi.
 
Kama hatapiga marufuku matumizi ya dola hadi kulipa kodi za nyumba sasa hivi hatafanya tena. Mawaziri wa fedha hutetea hali hiyo hasa yule mama sijui Nkuya do'nt remember well ... Hivi ni vitu rahisi sana kuimarisha currency. Acha madola yawe mengi yakikosa mnunuzi yatajishusha bei yenyewe.
 
Kodi za nyumba, ada za shule/vyuo zilipwe kwa Shilingi ya Tanzania hapo shilingi itaimarika bila shida. Pia awabane wahindi wanaopenda kutoa hongo kwa maboss wa serikalini kupitia PROCUREMENT OFFICERS (maafisa manunuzi) ili kulazimisha baadhi ya vitu vinunuliwe nje ya nchi ikiwemo samani/furnitures, semina zisizo na tija.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…