Shilingi ya Tanzania yaimarika kwa 3% dhidi ya dola ya Marekani


WEWE KWELI MWENDAWAZIMU HII SIO MADA SOMA MADA MADA NI DOLA NA UCHUMI WETU SIO MWALIMU KUFUNDISHA
 
Toa chanzo za takwimu hizi. Leo (10/03/2019) Oanda currency converter ambayo hutumiwa na baadhi ya Development Partners inaonyesha US$ 1 inabadilishwa kwa TSHS 2,338.65
 
Mara nyingi uchumi huu huwa unawagusa watu wa biashara kama kina Dr Mengi,Bakhressa,Azania,Nyanza Road,MeTL..lakini kuna ka uchumi flani ka- mfumo flani kanaenda kwa bahati ya ujima..
 
Nadhani pale magogoni watakuwa wanakupigia makofi... Haya ndiyo wapendayo kusikia...

 
Hongera Sana Awamu ya 5 Chini ya Raisi John Pombe Joseph Magufuli,Kweli Tsh Imeimarika sana Vs USD,Hakika Serikli ya Chini ya Chama CHa Mapinduzi Wanatupeleka Pazuri sana,Yajayo yanafurahisha Sana!.
 
Dola moja inanunuliwa kwa Tsh 2344 na kuuzwa kwa 2444 Tshs benki zinauza bei hio hivi huu uongo wa kijinga ni kwa faida za nani maana ukigoogle sasa hivi 1 USD to TZS unapata 2344..
Hakika Tsh imeimarika Sana na thamani imeongezeka kwa 3% hadi Bilionea MO ametwiti kweli SIRIKALI ya MAGUFULI ipo Juu inatupeleka UChumi wa Kati na Tanzania ya VIWONDER.
 
Kazi yote malipo hata laki 7 hayafiki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…