Shilingi ya Tanzania yaimarika kwa 3% dhidi ya dola ya Marekani

Kwa kweli serikali imeimarisha sh kwa nguvu za jeshi lake. Juma zima TPB wanaonyesha kuwa 1 USD wananunua kwa TZS2320. Haijawahi kutokea graph ya exchange rate ya currency ikawa mstari ulionyooka kwa juma zima. Kweli haya ni maajabu ya awamu hii. Hongereni... Unavyosema kuwa umepata 1USD kwa 2320 ni ulongo. 2320 ni bei ya TPB kununua $ toka kwako. Kama unanunua $ toka kwao unalipa 2380. Tumia akili unapotaka kuongopa.
Leo nimepata 1USD kwa 2320; Tpb.
 
Kweli mkuu shillingi ya Tanzania imeimarika sasa hivi tunaenda kwenye uchumi wa viwanda
Kabisa Pongezi ziende kwa Awamu hii kwa JUHUDI zake,BOT wamefunga tu BYURO DI CHENJI ndani ya siku nne tu Shilingi imeimarika.
 
Ngoja ninyooshe maelezo vizuri kubadili Dola kwenda tshs rate ni 1= 2320, tpb. Rate ya Leo.
 
hivi kweli wafanyabiashara wa congo,malawi na zambia alafu sasa wanakuja kununua bidhaa kariakoo wakaboost foreign currency againt tsh kwa 3% ndani ya week ya kwanza march HAPANA NIMEKATAA 100%
I DONT BUY THIS!!! COME AGAIN

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimekwambia hivi: tangu TPB waanze hiyo kazi, wanunua $ kwa 2320. Siyo leo tu. Haijabadilika kwa zaidi ya juma.. Huo ndio muujiza wa serikali hii ninaouongelea.
Ngoja ninyooshe maelezo vizuri kubadili Dola kwenda tshs rate ni 1= 2320, tpb. Rate ya Leo.
 
Tafadhali andaa uzi wa hii habari. Hapa imejificha sana na ukizingatia nia habari muhimu na kubwa
 
Nenda benk uone shilingi yetu inavyonyanyasika, tofauti ya kuuza na kununua ni zaidi ya sh. 110 kwa dola 1, hawa benk wanachangia sana kuishusha thamani shilingi yetu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
WEWE KWELI MWENDAWAZIMU HII SIO MADA SOMA MADA MADA NI DOLA NA UCHUMI WETU SIO MWALIMU KUFUNDISHA
Kama uchumi umeimalika kwa nini serikali haijali walimu zaidi na kutoa zana za kufundishia? Wewe labda umesomea shule kama hizo ndo maana huoni umuhimu wa kukua kiuchumi na uhusiano wake na huduma za kijamii.
 
Tafadhali andaa uzi wa hii habari. Hapa imejificha sana na ukizingatia nia habari muhimu na kubwa
Niliiweka hapa maana nilijua watu watakimbilia kuona jinsi shillingi ilivyoimalika bila kujua kwamba uimara wa pesa unaonekana kwenye matokeo chanya kwa nchi.

Mwalimu mmoja anafundisha madarasa sita tena nje, halafu shillingi inaimarika. Je tunapimaje maendeleo ya nchi kama siyo kwenye huduma za jamii kama elimu, afya, makazi ya watu na miundo mbinu? Ningeanzisha uzi wangu watu wasingeusoma. Nimeishatukanwa humu kwa huu uzi.
 
Mbona kuna habari nyepesi sana zinapata comments nying. Basi iweke tena hiyo habari kam uzi unaojitegmea,, watu wausome upya.
 
Mbona kuna habari nyepesi sana zinapata comments nying. Basi iweke tena hiyo habari kam uzi unaojitegmea,, watu wausome upya.
Humu kuna watu na watu. Mimi sijawahi weka uzi ukatoka hivyo huwa na comment za wenzangu. Sina hadhi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…