Shilingi ya Tanzania yazidi kuporomoka dhidi ya US Dollar, Euro na Paundi

Shilingi ya Tanzania yazidi kuporomoka dhidi ya US Dollar, Euro na Paundi

dosama

JF-Expert Member
Joined
Dec 25, 2010
Posts
912
Reaction score
957
Kwa rate ya leo ya kuuza na kununua fedha hizo za kigeni ni kama ifuatavyo

1. USD inauzwa kwa shilingi 2317 na kununuliwa kwa shilingi 2354
2. Euro inauzwa kwa shilingi 2580 na kununuliwa kwa shilingi 2700
3. Paundi unauzwa kwa shilingi 2854 na kununuliwa kwa shilingi 2974
 
Upo bongo je nchi nyingine rate zikoje wacha majungu fanya kazi hata huko dunia ya kwanza kumetetereka!
 
Jamaa mshamba kweli kwan rate zamani zilikuwaje?
Huwa unabadili hata fedha za kigeni?
 
Back
Top Bottom