Shilling yazidi kuporomoka! 1796!

Japan nako wanalalamika Yen imeshuka thamani isivyo kawaida. Siku hizi ukombozi ni fedha ya ushirikiano kama URO hatu haishuki thamni kiulaini
 
Kweli. Banki Kuu zaa kenya na uganda zote wamauzaa dola sokini lakini BoT kimyaa! Aibu tu! Wote wezi!
 
I'm Christian lakini ulichoandika ni uharoooo.......
Nyamba....u sana wewe,Rais hatumchagui kutokana na dini yake wala kabila yake.
Wewe,wewe,wewe ......
Sawa kabisa yaani ni hatari sana kumuhukumu MTU kutokana na dini yake huyo jamaa hana akili kabisa
 
Habari za uhakika ni kwamba dola wk hii 2000 ,kwa 1s.kama kuna mtu wa ccm ajitokeze kama kuna uhusiano wa kupanda kwa uchumi hapaaa
 
Mimi sioni kitu kigeni kwa mtu anayejua trend za uchumi mwaka huu lazima pesa ishuke thamani.ila kuanzia august dollar itashuka thamani
 
Mimi sioni kitu kigeni kwa mtu anayejua trend za uchumi mwaka huu lazima pesa ishuke thamani.ila kuanzia august dollar itashuka thamani

Mkuu kupanda ni rahisi mno
Imepanda kutoka 1600hadi 1900 halafu inashuka mpaka 1895 halafu tunajisifu dolls imeshuka
Kama lilivo swala la mafuta kupanda ni kama kumsukuma mlevi ila kushuka longolongo kibao.
 
ndo shida ya kuwaamini waislam. nyerere akiwa rais uchumi ulisimama na ben aliusimamisha na nidham ikarejea.

hawa wavaa vipedo mwinyi na mwenzie mkwere hovyo kabisa. siku zote wanatugharimu

Ni lazima itungwe sheria ya kuwaadhibu vikali watu wanaoshangia hivi!
 
Ukiona mkeo anakumbuka kwao ujue mambo kwa mumewe ni hovyo. Kama wananchi wanawakumbuka viongozi wakristo ujue kuna uzuri waliupata, lakini kama sio udini hata waislamu walionja matamu ya uongozi wa Nyerere na Mkapa. Sasa hivi hatungumzii uchaguzi tunazungumzia uchumi ulivyovurugika kwenye uongozi wa Mwinyi na Kikwete na uzuri wa uchumi katika uongozi wa Nyerere na Mkapa. Wewe unayezungumzia uchaguzi una udini. Mwenye akili hujifunza kwa makosa ya wengine, mjinga hujifunza kwa makosa yake mwenyewe, lakini mpumbavu hajifunzi lolote. Kama uko kundi la mwisho yaani mpumbavu utaendelea kuchagua vipedo ili shilingi iporomoke zaidi
I'm Christian lakini ulichoandika ni uharoooo.......
Nyamba....u sana wewe,Rais hatumchagui kutokana na dini yake wala kabila yake.
Wewe,wewe,wewe ......
 
ndo shida ya kuwaamini waislam. nyerere akiwa rais uchumi ulisimama na ben aliusimamisha na nidham ikarejea.

hawa wavaa vipedo mwinyi na mwenzie mkwere hovyo kabisa. siku zote wanatugharimu

Mkun......wako kamwambie baba yako uhar.o huo
 
tofautisha uislamu na muislamu, uislamu umekamilika kuanzia sheria za jamii mpk nyumban ktk familia, hakuna muislamu wa kweli anayeweza kuingua ktk siasa kwakua ni kinyume na uislamu, hao viongozi mnaowaita waislamu hawatambuliki na uislamu uislamu umeharamisha kuhukumu kinyime na sheria za Mwenyezimungu muumba wa mbingu na ardhi
 
ndo shida ya kuwaamini waislam. nyerere akiwa rais uchumi ulisimama na ben aliusimamisha na nidham ikarejea.

hawa wavaa vipedo mwinyi na mwenzie mkwere hovyo kabisa. siku zote wanatugharimu

Unayesimama mbele yake kutubu (KILAINI) alionyeshwa na mungu wenu kuwa J.K ni chaguo la mungu....just shut up
 
Leo imefika 1830! RIP Tanzania Shilling.
 
Wewe ntamaholo unafrustration tuu za maishaa hivi unafikiri waislamu ndo wachawi wako sio kweli mchawi wa maisha yako ni wewe mwenyewe Fanya kazi na uwe mbunifu frustration zitaishaa tuu
 
Swala la uchumi kuimarika wakati wa nyerere unatudanya inaonekana haukuepo unatawalia na chuki za kidini wakati wa nyerere madukani bidhaa zilikuwa adimu na maisha yalikuwa magumi kinoma sasa huo ndo uchumi ulioimarika usitake kudanganya watu hapaa na frustration zako hapaa
 
Kama kulaumu umlaumu babayako aliokuzaa bila mpango wowote alafu unategemea raisii utakufa kwa frustration za maishaa ntamaholoo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…