Shilling yazidi kuporomoka! 1796!

Eti nyerere alivyokuwa raisi uchumi ulisimama kivipi embu tueleze kwa sababu tulikuwepo enzi hizo tunakunywa uji wa chumvi kwa kukosa sukari ,tunavaa kaniki kwa kukosa nguo kwa mtu aliyetawala miaka25
 
Unamaanisha baada ya vita ya kagera?
 
Tanzania shilling kurudi 1600 ni ndoto (miaka miwili iliyopita)

Kupanda mpka 1200 ni hadithi za alinacha. Halafu waheshimiwa wanadai tunakua kwa wastani wa 7% kila mwaka. IMF na WB haziwezi kuaminika watanzania tuiongezee NBS nguvu tuendelee na maisha yetu.
 
Baadhi ya vyama nina mashaka navyo kama vina nia njema na nchi yetu, WATANZANIA TUWE MACHO
Uchumi Unakua Kwa Kasi ya 7.9% tunategemea ukue hadi kufikia 7.2%,Acha pia na Tsh Ikue hadi 3,500 kwa Usd 1 kuhakisi ukuaji wa Uchumi wa nchi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…