figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,724
- 55,906
Tafiti background yake utagundua hata o level ya Igunga hajaifikiaAsee kapita pita pita zangu mitandaoni nimekutana na video ya Shilole akijisifu kwa kujiita "Bad girl"...Then akamalizia "Himself"....
Sijajua hii ni ya lini kama ni ya zamani au ni mpya...Swali langu ni kuwa hivi huyu demu kweli hajui kiingereza kiasi hichoo au anafanya makusudi tu ili tumuandike kama hivi?
MshambaAsee kapita pita pita zangu mitandaoni nimekutana na video ya Shilole akijisifu kwa kujiita "Bad girl"...Then akamalizia "Himself"....
Sijajua hii ni ya lini kama ni ya zamani au ni mpya...Swali langu ni kuwa hivi huyu demu kweli hajui kiingereza kiasi hichoo au anafanya makusudi tu ili tumuandike kama hivi?
hapana cha kiki mzee, ni kweli kiingereza hajui ila anajaribujaribu tu na wakati mngine ndiyo hujifanya kama anafanya kusudi. angalia video zake zingine akiwa serious anazungumza kwa kiingereza halafu upate kucheka.Nadhani hajui vizuri lakini pia wakati mwingine anakuwa anafanya kusudi ili apate kiki.
Igunga baby
USA baby.....
bila kimsahau Rais Wa . . . . . . . .Nadhani hajui vizuri lakini pia wakati mwingine anakuwa anafanya kusudi ili apate kiki.
"it's your boy shishi baby"