Simara JF-Expert Member Joined Oct 1, 2014 Posts 7,512 Reaction score 23,925 Jan 3, 2017 #21 Acha tu awanunue si hawataki kufanya kazi, shule kichwani hamna basi wanaona hapo ndiyo wamepatia maisha.
Acha tu awanunue si hawataki kufanya kazi, shule kichwani hamna basi wanaona hapo ndiyo wamepatia maisha.
mchukunuzi Member Joined Jan 2, 2017 Posts 89 Reaction score 89 Jan 3, 2017 #22 Sidhani kama hao vijana wa shilole wanaona ni utumwa nnahisi ni hisia zako tu, halafu kupenda wapendane wao kuumia uumie wewe, sio bure utakuwa unaugonjwa wa wivu
Sidhani kama hao vijana wa shilole wanaona ni utumwa nnahisi ni hisia zako tu, halafu kupenda wapendane wao kuumia uumie wewe, sio bure utakuwa unaugonjwa wa wivu
kopites JF-Expert Member Joined Jan 28, 2015 Posts 9,229 Reaction score 11,531 Jan 3, 2017 #23 Acha aliwe
dvjnews5 JF-Expert Member Joined Dec 22, 2016 Posts 369 Reaction score 88 Jan 3, 2017 #25 kabingo said: Nakupa pole maana naona.na wewe sample ya wale wale ganda la ndizi Click to expand... Tatzonn
kabingo said: Nakupa pole maana naona.na wewe sample ya wale wale ganda la ndizi Click to expand... Tatzonn