Shilole afunguka kuhusu kurudiana na Nuh Mziwanda baada ya kupost picha wakiwa wawili Lodge

Shilole afunguka kuhusu kurudiana na Nuh Mziwanda baada ya kupost picha wakiwa wawili Lodge

chinchilla coat

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2016
Posts
5,107
Reaction score
10,969
Shilole na Nuh mziwanda wamedaiwa kurudiana baada ya shilole kutuma picha inayomuonyesha yeye na Nuh Mziwanda wakiwa nwameweka pozi tata lodge
Shilole amedai hajarudiana na Nuh ila wameamua kuwa washkaji baada ya kumuona Nuh kuwa huwa anakosa Confidence kila anapomuaona na hataki kumkosesha furaha
 
Wanaelewana wenywe hao tuwaachen tu kuna mmoja kashazoea vibao
 
Hawa buana,akili zao ni moja,jike shupa=ganda la ndizi
 
Mi mwenyewe juzi niko pombe nikaliona koloni langu lipo messenger online, ikabidi tuchonge kama masaa yote. Sasa hivi najiuliza nimefanya nini, maana huko aliko anajua natamani kurudisha majeshi kumbe zilikuwa pombe tu. Wajameni kaeni mbali na social media kama mko mitungi.
 
Back
Top Bottom