Shilole akiri live kutotumia condom katika mapenzi

figganigga

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2010
Posts
25,724
Reaction score
55,906

Mwigizaji na Mwanamuziki Maarufu Bongo Shilole Amesema Kwake Matumizi ya Condom huwa yanamyima raha ya Mapenzi Hivyo alilazimika kwenda kupima ngoma na mpenzi wake ili wasitumie mipira.


Shilole Amezidi Kusema kuwa raha ya mapenzi ni kukutana na mpenzi bila kuwa na kizuizi chochote asikwambie mtu raha ya kula ndizi ni kula ikiwa imemenywa, maganda huondoa utamu. mia
 
Heheeee... Advertisement is legalised lying....!!!
 
Ilikuwaje mpaka akaongea yote hayo? Dah maanake mambo mengine ni ya wawili tu!
 
Kwa kwelii kasema ukweliii mtupuu japo sio la kuongelea hadharaniii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…