PRINCE CROWN
JF-Expert Member
- Feb 12, 2013
- 5,210
- 4,175
kwa muda mrefu sasa watanzania tumekua tukijiuliza ni nini tatizo la mmomonyoko wa maadili ndani ya jamii ya kitanzania,na serikali imekosa kugundua kwamba ugonjwa uhu unasababishwa na hawa wasanii wa ihi miziki ya kizazi kipya na filamu,
kiu kweli ihi miziki na filamu za kitanzania na zawageni ndio kansa inayoliangamiza taifa hili, nadiriki kusema ni mapepo ambayo hawa wasanii wanawajaza watanzania,
taifa limekua ni kuendekeza mapenzi,miziki inayopigwa au kutungwa ni mapenzi mapenzi,filamu za sasa huwezi hata kukaa na watoto mkaangalia ni mapepo matupu,
ihi miziki na filamu hizi nyuma yake zina maroho ya uharibifu ndani yake,ndio maana unaona vijana wameharibika sana,na ihi inachangiwa na hawa wa sanii wa miziki na filamu hizi za mapepo,
sasa zimekuja na sms kwenye simu ambazo zinahusisha mapenzi,mimi nionavyo ndani ya miaka 10 ijayo ukimwi utakua umelimaliza taifa hili kama serikali isipo chukua hatua za kupiga marufuku vitu kama hivi vyenye kuchochea mapepo ya zinaa,
naihasa wizara ya utamaduni ikawa na miiko ya maadili kwa wasanii na vyombo vya habari kiu kweli tusipo chukua hatua hakika kizazi cha watanzania kita teketea kabisa na hawa watumishi wa mashetani,