Shilole amedhiirisha tasnia ya Bongofleva ilivyojaa mapepo

PRINCE CROWN

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2013
Posts
5,210
Reaction score
4,175
kwa muda mrefu sasa watanzania tumekua tukijiuliza ni nini tatizo la mmomonyoko wa maadili ndani ya jamii ya kitanzania,na serikali imekosa kugundua kwamba ugonjwa uhu unasababishwa na hawa wasanii wa ihi miziki ya kizazi kipya na filamu,

kiu kweli ihi miziki na filamu za kitanzania na zawageni ndio kansa inayoliangamiza taifa hili, nadiriki kusema ni mapepo ambayo hawa wasanii wanawajaza watanzania,

taifa limekua ni kuendekeza mapenzi,miziki inayopigwa au kutungwa ni mapenzi mapenzi,filamu za sasa huwezi hata kukaa na watoto mkaangalia ni mapepo matupu,

ihi miziki na filamu hizi nyuma yake zina maroho ya uharibifu ndani yake,ndio maana unaona vijana wameharibika sana,na ihi inachangiwa na hawa wa sanii wa miziki na filamu hizi za mapepo,

sasa zimekuja na sms kwenye simu ambazo zinahusisha mapenzi,mimi nionavyo ndani ya miaka 10 ijayo ukimwi utakua umelimaliza taifa hili kama serikali isipo chukua hatua za kupiga marufuku vitu kama hivi vyenye kuchochea mapepo ya zinaa,

naihasa wizara ya utamaduni ikawa na miiko ya maadili kwa wasanii na vyombo vya habari kiu kweli tusipo chukua hatua hakika kizazi cha watanzania kita teketea kabisa na hawa watumishi wa mashetani,
 
mwacheni jamani alipata frustration
ye alidhani atafanya show ulaya kuwa kama wanazofanyaga kina Jay Z au Riri
akajikuta ukumbi mzima wameingia watu watano kama sebuleni
akili ikaruka
 
mwacheni jamani alipata frustration
ye alidhani atafanya show ulaya kuwa kama wanazofanyaga kina jay z au riri
akajikuta ukumbi mzima wameingia watu watano kama sebuleni
akili ikaruka

​je! Hayo ndio maadili na tamadudi za mtanzania au mapepo???
 
Mmemkomalia Shilole kati yenu nani hajawai kufanya mapenzi au dada zenu mimba wanazopata utotoni ni maadili ya kitanzania,titi lake kuonekana nyie hamjui titi likoje ,cha ajabu ni ni hapo , mbona nchi nzima kila eneo wapo waathirika Wa ukimwi ,na wamepataje ukimwi ? Ni maadili ya kitanzania hayo, mwacheni binti Wa watu afurahie ujana!!
 
Ni hali halisi,Si dharau ni kweli muziki ni uhuni.

Mzazi muombee mwanao ili mashetani yasimrubuni._FidQ
 
Mwenye hizo snap tafadhali tuone hilo titi kama lina quality....
 

Mkuu shilole kadhihirisha nn apa mbona title haijasadifu yaliyomo
 

Wasipomfugia Basata waachie ngazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…