Shilole amsaidia Mbwana Samatta

maatope

JF-Expert Member
Joined
Sep 19, 2013
Posts
1,422
Reaction score
957
Anayebisha abishe tu lakini hakuna MTZ maarufu nchini Belgium kama shishi baby au shilole ambako aliangusha show kali iliyohudhuriwa na watu 28,000 jijini Antwerp kiasi kwamba haters wa huku Bongo wakaamua kumfungia ila wenye busara zao wakamtumia kwenye kampeni za CCM ambapo single handedly aliwasaidia kushinda.

Sasa umaarufu wa Shishi baby umemsaidia Samata kusajiliwa na Genk FC na wengine watafata wengi tu haswa pale Shishi atakapoenda Brussels early next year kufanya show katika uwanja unaomilikiwa na team hiyo.

Mwenye masikio asikie na mwenye macho aone, na wewe Samatta usimpomshukuru Shishi in public tutatoa barua ya Genk Fc team inayosema imekusajili sababu waliisikia Tanzania mara ya kwanza baada ya kuhudhuria show ya Shilole.
 
Bora bange uvute asubuh kuliko mchana wa jua Kali
 
Sio kiwango chake ndio kimemfanya aonekana?
 
Wewe kweli MATOPE

 
Kwa hiyo yeye alihusika kama nani mkuu.?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…