Shilole anaimba 'vigodoro'

Shilole anaimba 'vigodoro'

Waambi

JF-Expert Member
Joined
Dec 4, 2012
Posts
737
Reaction score
81
Baby Madaha amemchana Shilole na kusema muziki wake ni wa vigodoro. Anadai yeye music wake ni classic. Baby anasema ingawa ana mafanikio kibao lakini hapigi kelele! "I dont make noise. Let success make noise!!''
 
huyu baby madaha nimemsikia ni anajisifu balaa!! amuache shilole wa watu na vigodoro vyake na yeye afanye classic zake!! anamcheka mwenzake shambani asije kulia gulioni
 
Vigodoro mbona ndo mpango mzima....

Long live Shilole.
 
huyu baby madaha nimemsikia ni anajisifu balaa!! amuache shilole wa watu na vigodoro vyake na yeye afanye classic zake!! anamcheka mwenzake shambani asije kulia gulioni
mtu mwenyewe sura ya goti halafu anajiita baby
 
mtu mwenyewe sura ya goti halafu anajiita baby

ye mwache aendelee kujifanya classic wakati wenzake wanazidi kupata hela!! kajichubua siku hizi sura imekuwa kamwagiwa mapumba ya komoni
 
Madaha ana sura nzuri na kazi zake ni classic. Tatizo wabongo hampendi kuambiwa ukweli.
 
its hard to comprehend mziki wa shilole..... apart from mauno kwa kweli ni vigodoro tu ivi unaweza sikiliza muziki wa shilole mahal pa maana sidhan!!!
 
Watu wengine kama Shilole wanalazimisha fani. Hana kipaji cha music
 
Sipendi kukandia lakini dada shilole kuimba bado sana....ni ukweli mchungu.
 
Shilole anafosi game, honestly nyimbo zake celewag chochote......
 
Back
Top Bottom