mtz one
JF-Expert Member
- Dec 25, 2012
- 4,284
- 1,221
Gumzo at 12:57 AM
SHILOLE AAMBULIA
MATUSI MARA MAADA YA
KUANDIKA KIINGEREZA
CHA UGOKO
MTANDAONI...
WAMWAMBIA KUWA
KIINGEREZA NI WITO..!!
Shilole aliamua kutandika yai
kwenye Instagram, ili kuzipa
uzito shukrani zake za dhati kwa
muongozaji wa video yake ya
Nakomaa na Jiji itakayotoka
Jumamosi hii, Nisher. Bahati mbaya, yai lake
lilivunjika mapema wakati
lilipokuwa likiufikisha ujumbe
huo na kuwafanya watu
waligeuzie mjadala.
Kama tumekuacha kwa lugha
hiyo, ni kwamba Shilole
aliandika Kiingereza
kilichokosewa sarufi aka Broken
English.
Shilole aliandika : I did ever
think I would do a nice video
like this thank you alot to my
director Nisherbybee.
KIINGEREZA NI WITO teh teh teh
cc: heaven on desert
SHILOLE AAMBULIA
MATUSI MARA MAADA YA
KUANDIKA KIINGEREZA
CHA UGOKO
MTANDAONI...
WAMWAMBIA KUWA
KIINGEREZA NI WITO..!!
Shilole aliamua kutandika yai
kwenye Instagram, ili kuzipa
uzito shukrani zake za dhati kwa
muongozaji wa video yake ya
Nakomaa na Jiji itakayotoka
Jumamosi hii, Nisher. Bahati mbaya, yai lake
lilivunjika mapema wakati
lilipokuwa likiufikisha ujumbe
huo na kuwafanya watu
waligeuzie mjadala.
Kama tumekuacha kwa lugha
hiyo, ni kwamba Shilole
aliandika Kiingereza
kilichokosewa sarufi aka Broken
English.
Shilole aliandika : I did ever
think I would do a nice video
like this thank you alot to my
director Nisherbybee.
KIINGEREZA NI WITO teh teh teh
cc: heaven on desert
Last edited by a moderator: