Shilole asema chupuchupu awe Salome kwenye video ya Diamond

Shilole asema chupuchupu awe Salome kwenye video ya Diamond

Jhaxan

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2015
Posts
403
Reaction score
191
Mwanadada mwenye mvuto kupita wote ndani ya gemu ya maburudani Afrika Mashariki na Kati ameendelea kugonga headlines za vyombo vya habari baada ya kusema Diamond platnumzs alitaka yeye ndio HAWE video Queen wa nyimbo ya Salome na walikubaliana kabisa.... Sema siku ya kushoot alipata zalula hivyo nafasi yake akamwachia hamisa mobeto.... Ila anaamini hangekuwa yeye ndio video Queen basi video hiyo ya Salome ingepata views milioni 2 ndani ya siku mbili
1474693718130.jpg
 
Mwanadada mwenye mvuto kupita wote ndani ya gemu ya maburudani Afrika Mashariki na Kati ameendelea kugonga headlines za vyombo vya habari baada ya kusema Diamond platnumzs alitaka yeye ndio HAWE video Queen wa nyimbo ya Salome na walikubaliana kabisa.... Sema siku ya kushoot alipata zalula hivyo nafasi yake akamwachia hamisa mobeto.... Ila anaamini hangekuwa yeye ndio video Queen basi video hiyo ya Salome ingepata views milioni 2 ndani ya siku mbili View attachment 405909
bora shilole anaharibu lugha za watu kuliko ww unaharibu lugha yetu
 
Kuna wa mil 75 na huyu nae bas yote kheri
 
Haya mambo mwachie Msaga Sumu tu mzee sio lazima kila mtu aandike kama yeye.
 
Shilole aende shule ya kujifunza kuimba coz ajui kuimba ila ananyota ya kupendwa
 
  • Thanks
Reactions: MC7
Back
Top Bottom