zalula...ivi waalimu ndo wamezalisha product zinazo andika hivi? God have mercy on us
bora shilole anaharibu lugha za watu kuliko ww unaharibu lugha yetuMwanadada mwenye mvuto kupita wote ndani ya gemu ya maburudani Afrika Mashariki na Kati ameendelea kugonga headlines za vyombo vya habari baada ya kusema Diamond platnumzs alitaka yeye ndio HAWE video Queen wa nyimbo ya Salome na walikubaliana kabisa.... Sema siku ya kushoot alipata zalula hivyo nafasi yake akamwachia hamisa mobeto.... Ila anaamini hangekuwa yeye ndio video Queen basi video hiyo ya Salome ingepata views milioni 2 ndani ya siku mbili View attachment 405909
Tutawasingizia walimu bure ni vitoto vyenyewe tu.hivi waalimu ndo wamezalisha product zinazo andika hivi? God have mercy on us
Haya mambo mwachie Msaga Sumu tu mzee sio lazima kila mtu aandike kama yeye.