Shilole ataja sababu za kurudiana na Mziwanda

Shilole ataja sababu za kurudiana na Mziwanda

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
STAA wa wimbo wa Nakomaa na Jiji, Zuwena Mohamed ' Shilole' amesema sababu kubwa ya yeye kurudiana na mpenzi wake waliyegombana, Nuhu Mziwanda ni kuombwa msamaha.

Shilole alisema mpenzi wake huyo aligundua kwamba aliteswa na wivu na kusababisha wagombane hivyo alipotambua kosa lake, aliomba msamaha wakarudiana na mambo yakawa swari.

"Kikubwa ni kwamba ameomba msamaha ndiyo maana na mimi sikuwa na hiyana, nikapatana naye siku chache tu baada ya kugombana," alisema Shilole.

Hivi karibuni wawili hao waliripotiwa kuwa wamegombana na kila mtu kuchukua hamsini zake.
 
duh bora tuachane kwa adabu ndiyo tutarudiana ila kwa matusi na kejeli......sahau...
 
Mmh!! Kweli umarioo kazi , nguo utupiwe nje na msamaha unaomba ili uendelee kulelewa, kazi kweli
 
Ndio maana sipendi watu maarufu kwani wao kila kitu wanaweka kiwe chakula cha wote
 
shilole muongo muongo mi simuaminigi!

Ndugu zake walikuwa wanamchamba kuwa wao wanalala na njaa yeye anahonga vijana pesa

Na hao ndugu na wenyew wafanye kazi cha kumtegemea shilole kitu gani kwani wao vilema? Mwache ahonge si zake katafuta mwenyew
 
Mmh!! Kweli umarioo kazi , nguo utupiwe nje na msamaha unaomba ili uendelee kulelewa, kazi kweli

Huyo marioo boya 2 kosa afanye dem msamaha uombe wewe,kweli njaa mbaya mda c mrefu tutasikia penz chali
 
mhhhh ina mziwanda tu alimkosea shilole?
 
Back
Top Bottom