Ilo jambo ni la heri ,raisi wetu askie klio chako akupe uongoz ,ww unafaa sana,ni mtu mtulivu,usiye na makuu ,mpenda watu,mpenda amani,mtu wa watu,unaye jiheshmu sana kwa kutokua na kashfa mtaan,wala kutojiusisha na ujinga wa kutembea na wanaume kla kona,ww ni msanii wa kuigwa na jamii .............Muimbaji Shilole amezungumza na Ayo TV pamoja na millardayo.com ambapo amesema kuwa anatamani sana siku moja kuteuliwa kuwa mkuu wa Wilaya ya Igunga mahali ambapo ndipo alipotokea, Shishi amesema kuwa anatamani kuiongoza Igunga hata kama kwa nafasi ya Udiwani ili aisaidie na kuiendeleza kwenye mambo mengi.
Shilole amekiri kwamba yeye ndiye mtu aliyeifanya Igunga ikajulikana hivyo ataweza pia kuifanya Igunga ikaendelea kiuchumi na hata kuitangaza zaidi kupitia jina lake.
Mwenzie alilipa nini?Ajiandae 2020 agombee udiwani.... anajisemesha ili ateuliwe tu from nowhere.
Mwenzie alipambana hakupata bure.
Alipambana kitandani? Hata yeye vita ya kitandani anaiweza labda hata zaidi ya Joke!Ajiandae 2020 agombee udiwani.... anajisemesha ili ateuliwe tu from nowhere.
Mwenzie alipambana hakupata bure.
Hata usipojua kusoma no problem cha msingi ujue kuongea kiswahili tu.Hivi sifa ya Ukuu wa wilaya ni kujua kusoma na kuandika
ALIPAMBANA wapi nimesema alilipa??Mwenzie alilipa nini?
Kama kitanda ndio kinampa mtu madaraka basi aongeze sarakasi na chachandu ili kuwashawishi washika dau.Alipambana kitandani? Hata yeye vita ya kitandani anaiweza labda hata zaidi ya Joke!
Muimbaji Shilole amezungumza na Ayo TV pamoja na millardayo.com ambapo amesema kuwa anatamani sana siku moja kuteuliwa kuwa mkuu wa Wilaya ya Igunga mahali ambapo ndipo alipotokea, Shishi amesema kuwa anatamani kuiongoza Igunga hata kama kwa nafasi ya Udiwani ili aisaidie na kuiendeleza kwenye mambo mengi.
Shilole amekiri kwamba yeye ndiye mtu aliyeifanya Igunga ikajulikana hivyo ataweza pia kuifanya Igunga ikaendelea kiuchumi na hata kuitangaza zaidi kupitia jina lake.