Heaven on Earth
JF-Expert Member
- Mar 21, 2013
- 37,226
- 26,687
Si nimemwambia aweke picha sema kwenye PM...mbona Tangopori anasemaga...
Mmmmmmh! Job true true....!! Mnatangaziwa biashara hapo!
Kama ni hivo nimekuelewa Lazy mate.....It was me being concerned
Halafu ukishajua!!!!!!!
Xmass yoote na boxing day hata kunistua maeneo ...kweli lazymate UHUSIANO wetu unayumba
Nafsi yangu ipone.
Mi mwanaume naweza kukuoa
Instagram kuna vitukoo yaan ni kushindanaa kupiga pichaa tuu