Shilole: Bila kiuno nisingefika Ulaya

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
MSANII wa muziki wa mduara Bongo, Zuwena Mohamed ' Shilole ' amefunguka kwamba shavu la shoo alilopata la Bara la Ulaya limetokana na kukata kwake kiuno hivyo mashabiki kuvutiwa nae.

Akizungumza kwa njia ya simu na gazeti hiliakiwa barani humo anakoendelea kufanyashoo, Shilole alisema juhudi zake binafsindizo zilizompa shoo huko na hakutafutiwana mtu yeyote pia anamshukuru Mungukwani ameweza kuliteka soko la nje .

"Kiuno changu na muziki ninaoimba ndiyoumenifanya nikapata shoo za Ulaya na juhudizangu pia hapa nina shoo nne ambaponitarudi Bongo Desemba baada yakuzimaliza ," alisema Shilole.


GlobalPublishers
 
Binamu uwe unaanzisha na topic zinazohusu wanaume.
 
mziki dili hata ukiimba makolokocho unatoka tu...
 
Binamu uwe unaanzisha na topic zinazohusu wanaume.

Aaah!! Aaaah good idea binamu, ila si unajua mademu wengi ndo uwa wana drama kuliko Men, ila nitafanyia kazi, pia scandal za mastaa wengi ni ushoga tu na umalaya
 
Mhhh haya bibie changamkia fursa hiyo...
 
Kiuno au kutingisha makalio
 
wote ambao hawajafika huko hawana viuno?
 
Mi hata sielewag shilole anaimbaga nn,wimbo wake mmoja ndo nauelewa zilizobaki cjawah kuelewa..
 
kaenda kuonana na wakina bwana vipala tu huyo hana lolote
 
Kiuno ndio tiketi eee,basi sio haki mbona wale masabato masalia huwa wanawakatalia kwenda ulaya wakati viuno wanavyo?
 

Non of our business!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…