yello masai
JF-Expert Member
- Jan 8, 2016
- 3,662
- 3,715
Kwani kujua kizungu ndio nini!? mbona messi hajui...!!!!Nimemsikiliza huyu mwanadada kwenye interview na diva… aisee nimejiuliza anapoendaga huko kwenye nchi za watu huwa anaenda na mkalimani au?
Kizungu kimemchanganya mpaka kaomba kwenda kulala. Na Diva nae anaboa sana ma misifa yake ya kupenda kuongea kizungu. Si aangalie anamuinterview mtu wa aina gani!!!
Jamani ukishakuwa msanii tena maarufu jitahid kujua na kakidhungu kidogo. Huoni hata baba Tiffer hawezi kukiimba lakini angalau kuongea anajitahidi.
Nimemsikiliza huyu mwanadada kwenye interview na diva… aisee nimejiuliza anapoendaga huko kwenye nchi za watu huwa anaenda na mkalimani au?

hihKizungu ndiyo lugha ya wapi?
Lugha ya malikia. Kwa kizungu inaitwa EnglishKizungu ndiyo lugha ya wapi?
Nimemsikiliza huyu mwanadada kwenye interview na diva… aisee nimejiuliza anapoendaga huko kwenye nchi za watu huwa anaenda na mkalimani au?
Kizungu kimemchanganya mpaka kaomba kwenda kulala. Na Diva nae anaboa sana ma misifa yake ya kupenda kuongea kizungu. Si aangalie anamuinterview mtu wa aina gani!!!
Jamani ukishakuwa msanii tena maarufu jitahid kujua na kakidhungu kidogo. Huoni hata baba Tiffer hawezi kukiimba lakini angalau kuongea anajitahidi.
Hao wote walikutana wote hawajitambui wafanye nini kwa nani waongee nini na nani wajibu nini kwa nani... Show offs na ujuaji ndio wanachowezaNimemsikiliza huyu mwanadada kwenye interview na diva… aisee nimejiuliza anapoendaga huko kwenye nchi za watu huwa anaenda na mkalimani au?