Shilole has officially been engaged

Huyu dogo akusimama na watoto wa shilole utadhan mtu na wadogo zake
 
Kiingereza kigumu. Isomeke. 'Shilole is officially engaged'.

ha ha ha ha ha ha ha.,

nimesahihisha , official to officially. Hayo mengine yako. Me myself i dnt knw.
 
dogo kaingia cha kiume!! ..........

Grand PA
 
It seems u have much experience!

ukiwa unawashauri wanandoa ndipo utajua matatizo mengi ni inferiority complex ya pesa, na umri-mwanamke kuwa na umri mkubwa na dogo kuamua kutafuta wa size yake...na hasa ukute demu umri umepaa na purchasing power yake ni kubwa kuliko mwanaume......the home becomes hell
 

give them time, utaona mtifuano utakavyokuwa....atakayeanza kulalamikia umalaya wa mwenzake ni shilole...ngoja dogo azoee ya mama kisha akaonje ya binti.
 
madhali wanafanya jambo jema tuwatakie kila la kheri na si kuanza kuiga fani ya marhumu sheikh yahya hussein.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…