Bilionea Asigwa
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 16,515
- 28,506
Akalee watoto wake.Ndio nani huyu kibibi
Mkuu unachungulia sana... ubaya wa Mambo ya Technologia picha zinaonesha hadi mchanga mmoja... Zamani enzi za black and white huwezi jua kitu hapoSimu yake yenyewe imepasuka kioo, mxxxiewwww
FaizaFoxyNdio nani huyu kibibi
ni mpiga vibao maarufu hapa mjini...kwa maelezo zaidi wasiliana na Nuhu MziwandaNdio nani huyu kibibi
FOR SALE Kha!!. Lakini hivi huyu si ana kabinti kana pevuka sijui ndio anampa darasa gani hapa mwanae masikini,sawa mama wame kusikia loh!
MSANII wa Muziki wa Kizazi Kipya, Zuwena Mohammed ‘Shilole’ amefunguka kuwa kuanzia sasa hataki tena kuwa na mwanaume suruali, bali anahitaji mtu mwenye nazo, ndiyo maana ameamua kufanya kazi kwa bidii.
Akilonga na Ri-Vibes, Shilole alisema kuwa kwa sasa ameamua kukaa singo kwa sababu ameona hakuna faida ya kuwa na mwanaume asiye na kitu.
Kuhusu Nedy Music anayedaiwa kuwa naye mara tu baada ya kumwagana na Nuh Mziwanda, Shishi Baby alisema hana uhusiano naye wa kimapenzi, isipokuwa ni rafiki wa kawaida tu!
Afanyeje dada wa watu kajaribu kujishughulisha kukata viuno wee wapi, na ndio kiuno chenyewe kimekaza show hazilipi.Kwa uzuri gani ulionao, mi nina hela zangu siwezi kuchukua demu kama wewe kibibi!!jina kitu gani wewe utazimika muda si mrefu wengi walikuwepo lakini sasa wako wapi acha ushamba wa kwenu huko igunga, mikorogo imekuchanganya sura mpaka akili